Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Hahaha!
Maisha ndo haya haya mkuu, fanya kikupacho furaha.
🥂🥂

Basi ni vyema ungejipiga misupu ya kutosha, mwili upigwe maji ya kutosha, ukiamka upo vyedi kabisa.
Nimekula samaki mbichi madam 😅 nyama ya ng'ombe au mbuzi situmii kabisa
 
Hey people,
Happy weekend

Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu

Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua

Uzi tayari....
Upole lakini msimu wa kilimo Mimi deep life yangu kilimo
 
Back
Top Bottom