Marcy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,134
- 7,573
Hongera ni jambo jemaNdio
Hongera ni jambo jemaNdio
Hiyo aibu mpaka ukiwa unachakatwa au ni maeneo gani??Hey people,
Happy weekend
Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu
Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua
Uzi tayari....
Kwakweli 🤣. Mtoa mada atakuwa ameshapata muongozoMambo yangu niachiwe mwenyewe
Aisee 😆Kama kweli vile
Hahahaa. Lionee.Hii week ina neema sana kwangu. Kuna mwingine asubuhi alinihisi TISS
🤣🤣
Liongo! Wanawake wembamba wana midomo sana, sasa wewe mbona huna mdomo
Ulezea kuhusu mimi maana hata sijijui...Kibaka wangu kuja elezea personally yako hukuuu!
Weeh kila ntu ajielezee mwenyewe love nisije kukusingizia bureeUlezea kuhusu mimi maana hata sijijui...
Sema chochote wala hautakosea...Weeh kila ntu ajielezee mwenyewe love nisije kukusingizia buree
Wewe ndo chica wa X(twitter)?Mpole
punguza uwongo we ndebile, nusu albinoKuu moja ni mpenda amani, sipendi kwa namna yeyote ile kuivuruga amani kwangu au kwa yeyote yule, napenda kuhusika na yanayonihusu zaidi.
Ziada
Napenda utani na masikhara sana(usio na madhara/kuumiza)
Bila kuwa na ukaribu nami unaweza jua mimi ni bubu.
Ninaamini nachokiona zaidi kuliko ya kuambiwa.
Utapasuka kijanapunguza uwongo we ndebile, nusu albino
Mimi ni mlevi wa pombe tu .
We muongo sanaAisee 😆
Siku niki acha kutumia jf, una weza kuchanganyikiwaUtapasuka kijana
Hii n kubwa kuliko😂Hizo ni dipresheni🤣🤣🤣
Dogo ngoja nikae kimyaSiku niki acha kutumia jf, una weza kuchanganyikiwa