Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Mimi ni Mzee wa ku-take-over the show mfuniko mbovu yaan hata presentations nilikua nawekwa wa mwishoni sababu wanajua nikianza mimi hua simalizi au naweza nikamaliza kila kitu watu wakabakia hawana cha kusema, nabeba jukwaa naliweka begani na show naimalizaa mwenyeweIpi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?