Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Hahaa Mimi ni mvumilivu na huwa nachagua ukimya kama silaha ya kuepusha mengi.ila nikifika ukomo naweza chamba nyumba nzima..hata kama mpo kumi.mpaka unasshangaa ndo yeye huyu🤣
Hiyo para yako ya mwisho ndio nilivyo Sasa Nina uwezo mkubwa sana wa kuvumilia mambo na kujiepusha na ugomvi, ila Sasa siku nikichoka ni balaa, sina circle kubwa ya marafiki mtu wa kushinda ndani tu ,
 
Back
Top Bottom