Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Najifanya najua kila kitu. A much know. Have been told this since I was in standard 3 in 1994.

Hata Joannah a najua Mimi najifanya najua kila kitu.

Ndio namkubali sana kwa sababu kuna siku aliniambia " Wewe unajifanya unajua kila kitu"

Uwezo wa kudetect the inner personality of another person is divine gift.
 
Aisee kubwe wee bwana mdogo 1994 upo standard 3🤣🤣🤣🤣
 
Nina aibu Kwa mtu nsiemzoea,sio muongeaji sana Kwa mtu mtu nsiemjua mpaka nikujue.nina sifa ya ukimya
Mpole kupitiliza ila ukiniudhi navumilia nikifika ukomo moto unawaka😊
Sipendi kukaa na watu wengi,nafutahia zaidi kuwa na watu wachache au mwenyewe tu.
Kwa kifupi Nina sifa 99,% za kuitwa introvert

Mimi mtu akiniudhi aibu zinapepea haijalishi ni nani naruka nae baada ya hapo naanza kulia 😆
 
Back
Top Bottom