Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Hey people,
Happy weekend

Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu

Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua

Uzi tayari....
Kingine wewe ni keyboard warrior.

Mtandaoni ni mbabe na mtata sana,ila uhalisia ndiyo kama ulivyoeleza. Somehow tunafanana,japo Mimi ni wa kiume na Nina asili ya uongozi. I mean popote pale ninapokuwa automatically inatokea Mimi huwa kiongozi wa wengi hapo nilipo. Nina unyerere.
 
Back
Top Bottom