min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
UmenibambaMimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Kama kweli vileMpole
😂 dahNapenda ugomvi kuliko kula.
Nakubali nakubali bahariaMimi ni genius, basi tuu watu hawanielewi
Hizo ni dipresheni🤣🤣🤣Kuu moja ni mpenda amani, sipendi kwa namna yeyote ile kuivuruga amani kwangu au kwa yeyote yule, napenda kuhusika na yanayonihusu zaidi.
Ziada
Napenda utani na masikhara sana(usio na madhara/kuumiza)
Bila kuwa na ukaribu nami unaweza jua mimi ni bubu.
Ninaamini nachokiona zaidi kuliko ya kuambiwa.
Wananisingizia shindii🤣🤣Nasikitika sana shindii
Shindii🤣🤣🤣🤣🤣 Hivi ulifanikiwa au bado bado!
Kumbe wewe mkorofi shindiiWananisingizia shindii🤣🤣
Shindii sema nikupe mbwinu🤣🤣🤣Shindii
Hapana shindii, wananisingizia tu. Mie nilikuwa mpenzi msomaji🤣Kumbe wewe mkorofi shindii