Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
kenge mavumbi niajeDogo ngoja nikae kimya
kenge mavumbi niajeDogo ngoja nikae kimya
👍Endelea kukunywa mpaka viwanda yote ya pombe ifungwe
Tumsifu Yesu Kristukenge mavumbi niaje
Acha wenge kenge mavumbiTumsifu Yesu Kristu
Deep down ni mtu mwenye misimamo mikali inayopelekea kuwa mkali kupitiliza kiasi cha kutoa adhabu Kali hata kwa kitu kidogo pia mwenye visasi visivyoisha.Hey people,
Happy weekend
Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu
Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua
Uzi tayari....
Naskia mkuu ulibatizwa na mbege.Mno yani siwezi ishi bila pombe
Hahahaha mi mwislamu swafi bwashee 😁Naskia mkuu ulibatizwa na mbege.
Si ndio, fanya chaap!Shindii , umenena jambo la maana sana ujue🤔
Aaah! Hapo sawa.My love..
Nilisahau na nyingine Napenda jokes 😂🤣
Dipresheni sio kabisa🤣Hii n kubwa kuliko😂
Nimekumiss mamsapAaah! Hapo sawa.
Dawa yako 31 zipo 6 na wewe ulibana Bromapoakaajaa 🤣Hey people,