ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Njoo nilipo☺️Tunaweza Kupata kahawa jioni ya Leo😎
Njoo nilipo☺️Tunaweza Kupata kahawa jioni ya Leo😎
Nakuja ngoja niwashe Subaru langu fasta😎Njoo nilipo☺️
Dogo sema tu ukweli, haoni🤣🤣🤣😂 mimi ni mstaarabu sana hata comments zangu zinathibitisha hilo
Naomba niiongezee🤣Na nnayo kweli
Huna aibu wewe. Kwenye uzi wangu niliotaka ushauri kuhusu mpenzi wangu uli-comment ovyo sana.Hey people,
Happy weekend
Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu
Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua
Uzi tayari....
Nipunguzie maana n nomaNaomba niiongezee🤣
Nani haoni au nyani?Dogo sema tu ukweli, haoni🤣🤣🤣
Hapanaaa, inabidi ziongezeke🤣Nipunguzie maana n noma
🤣🤣🤣🤣 we sema tu, haoni.Nani haoni au nyani?
Atoto mambo🤣🤣🤣🤣 we sema tu, haoni.
Sema wewe😂🤣🤣🤣🤣 we sema tu, haoni.
Itakuwa ushachoka kuniona jukwaaniHapanaaa, inabidi ziongezeke🤣
Be my friend...Napenda ugomvi kuliko kula.
😂😂 Kweli wewe ni mcheshi mkuu.Mimi Mbabe mwenye Hulka ya Ucheshi ila sipendi kuona watu wakicheka sababu najua Wananicheka Mimi na Mimi sipendi kuchekwa nikichekesha ukacheka basi jua umenunua ugomvi lazima nikuulize unacheka nini na lazima nichukie hata km nimechekesha ila sitaki ucheke nipo Serious sana, kwa wanaonijua sometimes naweza nikachekesha wasicheke ila nikiondoka wanacheka hawana mbavu
Sitaki🤣Sema wewe😂