let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
MPAKA Sasa wamebaki kumiliki mapori kibao ya akiba.Nadhan lengo la toka mwanzo walitaka wawe na nchi yao katika kila nchi DUNIANI.
Mkanganyiko wa kiimani ukazalisha maelfu ya imani tofauti tofauti ndani ya ukristo
(WALOKOLE, K.K.K.T, kekundu, Gwaji, agape, E.A.GT, Protestants, wasabato, mwamposa, masanja n.k)
Wakatifuana tofuana na kupingana Sana,
Kila kitu kikawa vurugu vurugu, waumini na viongozi wakagawanyika.
Nguvu yao ikadhoofika sana,
MPAKA Sasa wamebaki kumiliki mapori kibao ya akiba.
Ila uundelezaji wake Ni sifuri.
Ila uundelezaji wake Ni sifuri.""
My reply:, labda kuna MAANA nyingine ya neno UENDELEZAJI unayoijua wewe tofauti NA wanayoijua wengine.
Ukisema kanisa katoliki LINAUENDELEZAJI SIFURI :, basi, makanisa na dini zingine hazijawahi kufanya chochote kabisa katika UENDELEZAJI.