Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Hongera kwa kuwa umekwishaokoka hapa duniani na hauna dhambi, hivyo utamwona Mungu!... pamoja na kwamba hawajaokoka na hawatakuja kumwona Mungu hadi waache kuabudu sanamu na maria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kuwa umekwishaokoka hapa duniani na hauna dhambi, hivyo utamwona Mungu!... pamoja na kwamba hawajaokoka na hawatakuja kumwona Mungu hadi waache kuabudu sanamu na maria.
Kwani imani ya kidini ni lazima ikuletee utajiri?Huo mfumo una faida gani kwa nchi masikini zilizokumbatia ukatoliki kama D.R.C,Mozambique na Latin America countries?[emoji16][emoji16].....
Hata isipokuketea utajiri,ila haitakiwi kukuletea umasikini,tena uliotopea kama empire nyingi za kikatoliki inapotawala.........ni kawaida kwa raia masikini kupeleka mazao yao parokiani,huku wananzengo wakiyatafuna bure,kwa kigezo cha kuyabariki[emoji16][emoji16][emoji38]Kwani imani ya kidini ni lazima ikuletee utajiri?
😂 😂 😂 😂 😂 😂Weka data.......70% ya nchi masikini duniani ni Catholic in origin.....tubishane kwa data,maneno mengi bila document ni ujinga View attachment 1821609
Kwani hio google imetengenezwa na bibi yako Chato.......google ni kama bahari,ambapo vessel yeyote inaweza kuflow,......by the way unataka Tanzania iwepo wakati ,ina wakatoliki wachache wapo sana Mtwara,Kagera,Songea,Morogoro sehemu zinazojulikana kabisa kua na masikini wa kiwango cha SGR.........au unadhani Zanzibar,Dsm sio Tanzania?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Data za google? Mbona unazo tayari. Nakuuliza mbona Tanzania haimo kwenye list? Niger imeingiaje na ni nchi ya kiislamu? Waafrika hatutakaa kufanikiwa kama tutaendelea kufikiria ukombozi wetu uko Uarabuni au Ulaya na Marekani. Tumeamua kuzima valve za vichwa vyetu eti sababu tunajua dini. Dini ambayo hata kujua kwenyewe kwa kuungaunga tu.
Kwani walokole ndo wanamuona Mungu? Nani alileta feedback toka huko kwa Mungu?Sio kweli kwamba ardhi ya katoliki huwa mali ya vatican. mali miliki ya vatican ni pale tu kwenye embassy yao, na hiyo ni diplomatically. kwingien kote kanisa hili limesajiliwa na hadhi sawa tu kama makanisa mengine na wanapomiliki humiliki kama NGOs zingine tu. isipokuwa, ujanja wao huwa wanafanya ni kwenda pembezoni mwa mji mapema kabisa wanawekak mission huko na baadaye mji huwa unawafuata ndio maana unaweza kuona kama wanamiliki maeneo makubwa, ni kwamba wanakuwa waliyapata mapema maeneo ambayo ninyi mlikuwa mnayadharau na kuyaona ni bush. wanajenga kanisa, shule n.k. mimi sio mkatoliki lakini kati ya makanisa yanayoleta maendeleo ya kweli wakatoliki ni namba moja. pamoja na kwamba hawajaokoka na hawatakuja kumwona Mungu hadi waache kuabudu sanamu na maria.
Kwamba umaskini unakuja kwa kutoa sadaka, na kwamba Wakatoliki ndio wanaotoa sadaka nyingi kuliko wengine ndio maana wao wanakuwa maskini zaidi?Hata isipokuketea utajiri,ila haitakiwi kukuletea umasikini,tena uliotopea kama empire nyingi za kikatoliki inapotawala.........ni kawaida kwa raia masikini kupeleka mazao yao parokiani,huku wananzengo wakiyatafuna bure,kwa kigezo cha kuyabariki[emoji16][emoji16][emoji38]
Mtunmwenye upeo mdogo anaweza tafsiri facts anazozitaka yeye[emoji38][emoji38][emoji16],.......Africa na latin America ndio kunaongoza kwa poverty rate duniani na huko ndio masikini walipojaa....ona hapaKwamba umaskini unakuja kwa kutoa sadaka, na kwamba Wakatoliki ndio wanaotoa sadaka nyingi kuliko wengine ndio maana wao wanakuwa maskini zaidi?
Wait wait. Sisi wakatoliki tunaabudu sanamu na Maria? Sikujua hilo pamoja na kusoma seminary miaka 10Sio kweli kwamba ardhi ya katoliki huwa mali ya vatican. mali miliki ya vatican ni pale tu kwenye embassy yao, na hiyo ni diplomatically. kwingien kote kanisa hili limesajiliwa na hadhi sawa tu kama makanisa mengine na wanapomiliki humiliki kama NGOs zingine tu. isipokuwa, ujanja wao huwa wanafanya ni kwenda pembezoni mwa mji mapema kabisa wanawekak mission huko na baadaye mji huwa unawafuata ndio maana unaweza kuona kama wanamiliki maeneo makubwa, ni kwamba wanakuwa waliyapata mapema maeneo ambayo ninyi mlikuwa mnayadharau na kuyaona ni bush. wanajenga kanisa, shule n.k. mimi sio mkatoliki lakini kati ya makanisa yanayoleta maendeleo ya kweli wakatoliki ni namba moja. pamoja na kwamba hawajaokoka na hawatakuja kumwona Mungu hadi waache kuabudu sanamu na maria.
Wanataaluma huwa hatutumii upeo au hisia, tunahitaji ulete andiko la utafiti wako hapa, tuangalie methodologyMtu mwenye upeo mdogo anaweza tafsiri facts anazozitaka yeye...
wew hiz data unazitoa wap? Wakati USA Kila waliko wamarekani watano mmoja mkatoliki.Kuna uhusiano wa nchi tawaliwa na kanisa katoliki na umasikini uliotopea kwa raia wake..,.hutumia mwamvuli wa dini kuwakandamiza watu.....katoliki ipo sana Africa na latin America....huko ndio kwenye masikini wenyewe sasa.
Europe katoliki ipo Italy sana tena wengi ni non believer.......ushawahi ona mission ya katoliki ipo U.S.A,U.k,china,Japan ama nchi za kiarabu?[emoji16][emoji16]
Mi zangu ni hizi hapa,70% ya nchi masikini ni Catholic affiliative......nawe weka zako zinazoonesha kwenye kila wa-U.S.A watano,mmoja ni mkatoliki,.......na pia sijasema walioleta ukatoliki ni masikini,bali nchi zinazotawaliwa na wakatoliki ndio masikini ......ushawahi ona mission ya kikatoliki,china,Japan,Australia,Dubai ama Saudi Arabia[emoji16][emoji16]wew hiz data unazitoa wap? Wakati USA Kila waliko wamarekani watano mmoja mkatoliki.
Bado hujaenda Germany,France, Belgium nk Tena Hawa ndo wameleta ukatoliki Africa.
Bado Spain na Portugal huko ukatoliki Kama wote
Wewe utakuwa Msabato.Kanisa lina Katoliki ni serikali kamili, Lina jeshi, Polisi, kitengo Cha Intelligence na mambo mengi ambayo yako kimwili zaidi kuliko kiroho.
Dini ni mwavuli tu wa watu kupumbaza ili watawalike kikirahisi.
Mama Samia Suluhu Hassan alifichua siri kubwa sana, kwamba wakiongea viongozi wa dini maneno yao huwekwa moyoni na waumini wao, na wanapo ongea wanasiasa wananchi huyaweka kichwani maneno ya wanasiasa, hivyo huyasahau kirahisi zaidi.
Kwa hiyo kanisa na Dini vinatumika kupumbaza watu ili serikali iweze kutawala kirahisi.
Na serikali zote duniani huwekwa na Vatican, ili kuufanya utawala wa kirumi uweze kutawala milele.
Mtu anaweza sema Korea Kaskazini mbona haiko chini ya Vatican? Unachokiona kwa macho yako Ni tofauti kabisa na kilichochongwa nyuma, ambacho ndio kina nguvu zaidi.
Vatican wanatumia akili kubwa Sana kughiribu dunia na kujificha ili watu waendelee kuishi gizani
Cha kwanza jua Kanisa halifati matariji, Linafata masikini ili kuwasisidia..Hilo mbona linajulikana,na wala si mawazo yangu,hii ni fact kabisa............
Ona hapo nchi ya kwanza hadi ya sita Afrixa zinazoongoza kwa umasikini ni Catholic empire View attachment 1821563
Mhhh katoliki inafata masikini ili kuwasaidia?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],toka liingie Kongo na Africa ya Kati,limeondoa umasikini kwa asilimia ngapi?Cha kwanza jua Kanisa halifati matariji, Linafata masikini ili kuwasisidia..
Pili ungefanya comaparison ..yaani kama inchi sita masikini ndio kanisa lilipo pia ungeonyesa nchi sita tajiri duniani then sema ni dini gani ipo hapo,
All in all ni wale wale haters ...au huna point ya msingi...
Ukirudi tutajie inch zenye vita zaidi duniani then tupe na dini kuu iliopo katika hizo inchi.
Mkuu mistari ya kwenye Biblia huwa haitafsiriwi kirahisi kiasi hicho, nakushauri kama unapata tatizo kwenye kitafsiri vifungu vya kwenye Biblia nenda ukaonane na Father au Katekista watakupa msaada, nje na hapo utakua unajidanyanga wewe mwenyewe kuwa umeelewa kumbe ujiingiza chaka na unaingiza pia wengine chaka.Kanisa Katoliki kwa miaka nenda rudi wamekuwa na utamaduni wa kujilimbikizia maeneo makubwa ya ardhi nchi mbalimbali, na ardhi hiyo huwa inasauiliwa Vatican kama milki yao halali.
Kanisa limekuwa likifundisha kwamba tusijiwekee akiba duniani, lakini lenyewe ndio kinara wa kujilimbikizia ardhi.
Mathayo 6:19-20
“Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo na kutu huharibu, na wezi huingia na kuiba. Jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na kutu hawawezi kuiharibu, wala wezi hawaingii wakaiba."
Haya mafundisho naona yanakinzana na kile ambacho kanisa linakifanya. Sasa ningependa kujua nini dhamira ya kanisa kumiliki haya maeneo makubwa? Kijijini ni mfano tu, kanisa linamiliki zaidi ya heka mia mbili, za nini zote hizi kama sio ulafi tu na ubinafsi?
Hebu tujulishane nyuma ya mpango huu kuna nini kilichojificha?
Kwanini ardhi isajiliwe kama ni mali ya Serikali ya Vatican?
Huku matombo mkoa wa morogoro kabisa katoliki limejimilikisha ekari milion Tano za ardhi na hati wanayo.Kanisa Katoliki kwa miaka nenda rudi wamekuwa na utamaduni wa kujilimbikizia maeneo makubwa ya ardhi nchi mbalimbali, na ardhi hiyo huwa inasauiliwa Vatican kama milki yao halali.
Kanisa limekuwa likifundisha kwamba tusijiwekee akiba duniani, lakini lenyewe ndio kinara wa kujilimbikizia ardhi.
Mathayo 6:19-20
“Msijiwekee hazina hapa duniani ambako nondo na kutu huharibu, na wezi huingia na kuiba. Jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na kutu hawawezi kuiharibu, wala wezi hawaingii wakaiba."
Haya mafundisho naona yanakinzana na kile ambacho kanisa linakifanya. Sasa ningependa kujua nini dhamira ya kanisa kumiliki haya maeneo makubwa? Kijijini ni mfano tu, kanisa linamiliki zaidi ya heka mia mbili, za nini zote hizi kama sio ulafi tu na ubinafsi?
Hebu tujulishane nyuma ya mpango huu kuna nini kilichojificha?
Kwanini ardhi isajiliwe kama ni mali ya Serikali ya Vatican?