Ipi siri ya kanisa Katoliki kujimilikisha ardhi kubwa kwa jina la Vatican?

Unabisha Nini wakati karibu robo ya wamarekani ni wakatoliki?
 
Hebu tuseme ulicho andika ni kweli..

Twambie sasa vice versa yake..

Niwapi palikua na umasiki wakutupwa then dini flan ikaingia mambo yakanyooka?

Then uje na data katika ulimwengu huu ni nchi gani wakatoliki hawapo?
 
Nchi sita tajiri,mbili zipo middle east huko hakuna ukatoliki[emoji38][emoji38],.........nchi zilizobaki zingine napo hawaukumbatii ukatoliki kama latin America na Africa
 
Hebu tuseme ulicho andika ni kweli..

Twambie sasa vice versa yake..

Niwapi palikua na umasiki wakutupwa then dini flan ikaingia mambo yakanyooka?

Then uje na data katika ulimwengu huu ni nchi gani wakatoliki hawapo?
Mtu mzima unataka mwanaume akutafunie data wakati unaziona?[emoji38][emoji38],huamini kua palipo Catholics umasikini unanukia kwa kasi ya ajabu......maaana wao wapo kuchuma mali
 
Nchi zenye vita duniani ni kama Libya,Iraq,Syria,Palestine........lakini ndio nchi zinazoongoza kupigania rasilimali zao zisitoke nje kizembe kama nchi za kikatoliki zilizotapakaa Africa na Latin America.......uchumi wa Libya ni mara elfu ya uchumi wa nchi yeyote ya kikatoliki Africa kama D.R.C,Mozambique na Cental African Republic,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16]
 
Fedha na dhahabu ni mali ya Bwana, Bwana ndiye aliyezitandaza mbingu na ardhi.

1.Nehemiah 9:6
Verse Concepts
“You alone are the Lord.
You have made the heavens,
The heaven of heavens with all their host,
The earth and all that is on it,
The seas and all that is in them.
You give life to all of them
And the heavenly host bows down before You
2.
Psalm 8:3-8
When I consider Your heavens, the work of Your fingers,
The moon and the stars, which You have ordained;
What is man that You take thought of him,
And the son of man that You care for him?
Yet You have made him a little lower than God,
And You crown him with glory and majesty!

You make him to rule over the works of Your hands;
You have put all things under his feet,
All sheep and oxen,
And also the beasts of the field,
The birds of the heavens and the fish of the sea,
Whatever passes through the paths of the seas.
3.
Isaiah 42:5
Verse Concepts
Thus says God the Lord,
Who created the heavens and stretched them out,
Who spread out the earth and its offspring,
Who gives breath to the people on it
And spirit to those who walk in it,
 
Umeeleza vizuri sana lakini hujatenda haki katika maelezo yako ya mwisho,nakushauri uyaondoe,kumbuka kanisa Katoliki ndio chanzo cha makanisa mengine yote,tafadhali sana.
 
Nchi sita tajiri,mbili zipo middle east huko hakuna ukatoliki[emoji38][emoji38],.........nchi zilizobaki zingine napo hawaukumbatii ukatoliki kama latin America na AfricaView attachment 1821701
We jamaa ni mbishi Sana. Hiv hiz nchi zilizojaa wakatoliki Kama wote ni maskini?

Unaweza linganisha na vinchi vyako vya kiarabu Kama Syria, Yemen,nk nk
 
Mtu mzima unataka mwanaume akutafunie data wakati unaziona?[emoji38][emoji38],huamini kua palipo Catholics umasikini unanukia kwa kasi ya ajabu......maaana wao wapo kuchuma mali
Kijana tazama hapo Kama Kuna maskini
 
Zipo lakini hawaishi kwa kujitangaza wanazingatia zaidi huduma kwa watu maskini ambako nyie matajiri hamuendi.
 
[emoji28][emoji28] naona spleen amekimbia baada ya kugundua nchi zenye wakatoliki wengi ndo nchi tajiri duniani.


Hebu atazame vzr hii list. Naona wale G7 wa dunia wamejaa humo wakiongozwa na USA, France,Italy, Germany.

Bado sijataja easten Catholics ( Orthodox Church) waliotawala easten Europe na Urusi
 
spleen yupo anaangalia DRC ambayo ni failed state na Ina mfumo mbovu na kusingia ukatoliki.

Tazama Tanzania mikoa yenye ahueni Kama Kilimanjaro, njombe,morogoro,songwe ndo Ina idadi kubwa ya wakatoliki

Tazama Lindi iliyochikilia umwinyi na uislam ilivyo katika Lindi la umaskini
 
Shida moja naiona ni kwamba kanisa limewekeza sana kwa watu maskini na nchi maskini limejenga huko huduma za jamii kama mashule,vyuo,hospital,na mambo mengine mengi,kanisa kanisa lisingeenda kufanya hayo maendeleo maeneo sijui hali yao ingekuwaje ,kwa uhakika hao watu lazima wakatoliki kwa ndio waliopo hapo(minus catholic investments=zero development in that specific area) baadaa ya wanasingiziwa wao sasa kwamba ndio wamepeleka umaskini,chukulia maeneo maarufu ya mission Tanzania hii wengi tunayajua,then assume unaondoa kila kitu walichofanya wao since then,pangekuwa na nini?kumbuka maeneo hayo kwa sasa ndio yanaongoza kwa kutoa wasomi wengi,je serikali ingewekeza sawa na ilivyo sasa katika maeneo hayo hayo?
 
Kagera,Mtwara,Ruvuma mbona hujaziweka kiongozi?[emoji16][emoji16]
 
Hawatakuelewa, sababu binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Aisee wewe ni muongo sanaa sana sana. Sanaaaa. Tena hapo usa ndo usiseme. Na yanawasaidia wahitaji wengine bila ubaguzi mpk nyumba za kuishi. Aibu yako
 
Hilo mbona linajulikana,na wala si mawazo yangu,hii ni fact kabisa............
Ona hapo nchi ya kwanza hadi ya sita Afrixa zinazoongoza kwa umasikini ni Catholic empire View attachment 1821563
Kwahiyo kwenye mtihani ukiulizwa sababu ya hata mataifa kuwa masikini ni kwasababu walikua chini ya mandatory ya catholic?[emoji23][emoji23][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…