Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

Hilo liko wazi na hakuna asiyefahamu kuwa wayahudi waamini mungu mmoja tu,ila bado wana amini kuwa masihi atakuja kuwakomboa so bado wanasubiri masihi.
Ndyo Ni kweli na Kwa Mujibu wao wako sahihi kabisa..

Nataka nikuulize wewe Unamuamini joseph Smith Kuwa Ni Nabii na Mtume wa Mwisho kutoka kwa Mungu na alikutana na Yesu Marekani na Yesu akampa kitabu??

Ambacho ndiyo biblia ya wamormons Mpaka Leo??

Umewahi kuisoma Biblia ya Mormons?
Kama hujawahi kwnini?
Unawa Consider wa Mormons kama ni wakweli?
Na Vipi kuhusu Itikadi yao ya Kidini?

Kama huwaamini wamormons kuhusu Imani mpya walioleta kuhusu Yesu na Vingine kwanini Unataka Wayahudi Waamini Kuhusu Yesu na Bado kwa mujibu wao Hajafit Vigezo walivyokuwa navyo Kwenye Utabiri na Unabii wao..

Kama ambavyo wakristo hawamuaminj Mtume Muhammad Kama Mtume wao na hawaamini Uislmu kadhalika ni sawa kwa wayahudi Kutoamini kuhusu Yesu
 
Taifa Teule
 
Waislamu hatujawahi kujipendekeza kwa wayahudi kama wakristo ambao wanatofatiana nao sana kuliko hata waislamu
Doctrine of necessity sio kitabu ni misingi mkuu
Waislamu nguruwe ni haramu, ila unhefahamu maana ya necessity usingekuwa unabishana hapa, hapo ni tatizo la elimu
 
Mkuu acha kuchanganya mambo, sheria wanaoutumia jews kwenye kosher ni ile ile inayotumika kwenye quran , mnyama anatakiwa awe na kwato na acheue
Jews bata wanakula ni halal
 
unakuwa na akili kisha unakuwa shoga vipi wewe unatamani mtoto wako awe kama Waisrael awe na akili kisha anatafunwa hiyo lost uliyokweka ni mashoga watupu.
mashoga wapo kila sehem, hapo ni iran
 
Wayahudi wanatoka taifa ambalo automatically limebarikiwa na Mungu mwenyewe, Israel ni taifa teule la MUNGU
 
Nani kawabariki mashoga. Kwaiyo ile sodoma nayo walibarikiwa uyo mungu mnamsingizia kubariki uchafu wenu, izi dini mnadhitumia vibaya mtalaanika ndani ya dunia ata kabla klfo. Tufuate makatazo ya mungu ikiwa tuna iman na mungu.
 
Sasa mkuu mbona unachanganya mambo, hawa hawamuamini yesu tena walifikia hadi kumpa kipondo, na kwao israel wanaamini mungu ni mmoja ,usilazimishe mambo kwa kujipendekeza
to
Wakristo hawajipendekez kwa wayahudi kama unavyodhani.Ndo maana sidhani kama kuna dhehebu lolote la kikristo linalomwomba Mungu kwa lugha ya kiebrania au kuwa na ratiba ya hija kila mwaka .Japokuw ni wazi kabsaa huwezi kuelewa hilo kutokana mtazamo wako siyo kujifunza ila nikuwafundsha watu hicho unachokiamin.
 
Hiv
Nani kawabariki mashoga. Kwaiyo ile sodoma nayo walibarikiwa uyo mungu mnamsingizia kubariki uchafu wenu, izi dini mnadhitumia vibaya mtalaanika ndani ya dunia ata kabla klfo. Tufuate makatazo ya mungu ikiwa tuna iman na mungu.
Hivi kwani ushoga upo kwenye katiba ya Israeli au!?.
 
Mada kama hii Wafuga Midevu na Majini hawampendi kabisa kusikia mwishowe wataanza kukutukana ovyo tu!! Ungwasifia waarabu hapo wangekupamba ukapambika!!
 
Wayahudi wana akili hizi ni stories mbona hawajawahi kutawala Dunia,mbona ndo jamii pekeee ambayo kila empire kubwa duniani imejaribu kuwafuta kuanzia Assyria,Egypt,babel,Roman's
Isipokua Persians ndo waliwasaidia kurudi kwao na kujenga hekalu Lao upya
 
Hivi kumbe hakuna waislamu mashoga? Ndio nimejua Leo hii NI mpya
Bila shaka wapo lakin katika jamii ya Kinasara(Kikristo)ni kama wameoza maana ipo kuanzia kwenye Mimbari( Madhabahu) za ROME Makasisi wenu ndio waasisi wenu mpaka POPE akaona isiwe shida aanze kuzibariki ndoa za Wasenge ndani ya Kanisa.
 
Bila shaka wapo lakin katika jamii ya Kinasara(Kikristo)ni kama wameoza maana ipo kuanzia kwenye Mimbari( Madhabahu) za ROME Makasisi wenu ndio waasisi wenu mpaka POPE akaona isiwe shida aanze kuzibariki ndoa za Wasenge ndani ya Kanisa.
NI sawa, Waislamu hawana DOA na hawajaoza kabisa, wapi kila wanachofanya kipo sawa kabisa, pia Mimi sidhani kama kuna Waislamu mashoga, hawa watu NI kama malaika hawakosei kabisa aisee 😎
 
mazingira (ubaguzi,chuki,uadui) pia yamewaforce kujiongeza.
 
Sijui kama ni kweli, basi sio wote, wapo pia malofa. Angalia wale mitume wa Yesu, wote isipokuwa Petro, walikuwa malofa. Kila kitu ni kuitikia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…