Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

Acha kudinganya wao wanaamini katika mungu mmoja ambaye hakuzaa wala hakuzaliwa, wewe unaamini miungu mitatu na mungu wako wewe ni yesu ambao wao hawamuamini na walimsulubu
Biblia ya agano la kale wanaotumia wayahudi ndo hio hio wanaotumia wakristo
Biblia yote inaelezea historia ya wayahudi kwa hiyo acha uongo

Yesu anazaliwa anakuta biblia tayari ipo na inatumiwa na mafirisayo ambayo ni wayahudi
 
Biblia ya agano la kale wanaotumia wayahudi ndo hio hio wanaotumia wakristo
Biblia yote inaelezea historia ya wayahudi kwa hiyo acha uongo

Yesu anazaliwa anakuta biblia tayari ipo na inatumiwa na mafirisayo ambayo ni wayahudi
Haya je mungu wa wayahudi ni yesu kama wakristo???
 
Haya je mungu wa wayahudi ni yesu kama wakristo???
Mungu agano la kale aliwa-ahidi atakuja mesiha
Tofauti ni kwamba wayahudi wana-amini Yesu bado ajaja ila atakuja na wakristo wanaamini Yesu ameshakuja tayari ila atakuja mara ya pili
Hizo ndo tofauti za kimapokeo ila biblia ni ile ile sema kila mtu anatafsiri na mapokeo yake

Nakitu ambacho wengi hamjui ni kwamba Mungu anawasaidia sana wayahudi ni kwa sababu aliingia maagano na kina ibrahimu, isaka yakobo, na daudi lakin ni watu ambao wenye mioyo migomo na wanamchikiza sana
 
Nitajie watu watatu tu wa jamii yako wenye mchango mkubwa katika sayansi, fedha, uchumi, kilimo au sanaa hapa duniani.
Jambo analofanya myahudi akija kufanya mwingine vilevile ila myahudi ataonekana super intelligent kuliko huyo mwingine japo linaweza kua the same ni suala la branding, huko ugirki kulikua na wanasayansi mahili mno na wamefanya vizuri tu ila huwezi kusikia akifanya myahudi kelele ulimwengu mzima
 
unakuwa na akili kisha unakuwa shoga vipi wewe unatamani mtoto wako awe kama Waisrael awe na akili kisha anatafunwa hiyo lost uliyokweka ni mashoga watupu.
Sema ukweli Prince; hujajibu swali la mleta uzi. Hajasema kwamba Wayahudi wote wana akili but just imagine 22% (according to mleta uzi )ya waliobeba tuzo za Nobel ni Jews. Hilo la mashoba, bongo, Ulaya na Uarabuni wapo, tena nchi za Kiarabu ndio balaa na nusu. Jilite kwenye maada
 
The last paragraph ina make sense
 
Kila jamii huwa ina uwezo wake wakufikiri kutokana na geography ya eneo husikia.. angali watu wa kaskazini na watu wanaotoka pwani

Angalia nchi zenye baridi maendeleo yao na uje ufanye comparison ya maeneo yenye joto...
 
If that's a mind game, how come hakuna kingdom yeyote duniani amabo walileta mapinduzi kuwazidi? Angalia hata sasa bado wao ndo wanaongoza! With all advancement in technology?

Nakubaliana na Dogon sawa na hio ya kisema ni mental games ila, licha ya yote hawa jamaa wapo vizuri tu. Yawezekana wanatumia power ila kiuhalisia kipindi cha peak yao hawakuwa wao tu walokuwa na nguvu duniani. Huo uvumbuzi ungetokea kwingine pia.

Hao Dogon na Egyptian zimebaki kuwa nadharia with time, na advancement za kipindi Chao was more of a mystery! Au kutumia psychic abilities. Sasa zama zimebadilika intellectual power ndo inaongoza pakubwa.
 
Ume prove vipi kuwa hao ni wayahudi!!?

DNA ya wayahudi ipoje!!?yaani tukipima mtu tuafananishaje na DNA ya myahudi!!?au tunachukua mifupa ya yakobo tunapima ndio tunafananisha ya mtu mwingine DNA yake!!?
Sijawahi amini hii nadharia kwamba Mungu alichagua taifa moja halafu mengine akayaona hayana maana na akalibariki kuliko mengine!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…