Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

Kila jamii huwa ina uwezo wake wakufikiri kutokana na geography ya eneo husikia.. angali watu wa kaskazini na watu wanaotoka pwani

Angalia nchi zenye baridi maendeleo yao na uje ufanye comparison ya maeneo yenye joto...
Hao Wayahudi aliowataja mwamba hapo, wanaishi/wameishi maeneo tofauti tofauti so mtazamo wako kwa hapa haufanani.
 
Mfano myahudi Yusuph aliweza kudesign mfumo wa kutubza nafaka miaka 7 bila kuoza. Kijana mmoja kule kibbutz akatafiti na kuja na mifuko maalum ya kutunza nafaka kwa muda mrefu leo kazinyake.


Wanafundishwa pesa ni matokeo ya kufaulu. Hivyo moja ya sherehe watoto hupewa fedha kama zawadi ya kufanya vizuri shule. Hii inawakumbusha kuwa Elimu itawapa kipato. Ndio maana wanasoma high income career ili wapate pesa mapema na mitaji ya kufungua vitu.
Yule mmiliki wa Facebook, WhatsApp na Instagram hasomagi kabisa Biblia na haamini kabisa katika Mungu; kwa ufupi jamaa ni Ethiest
Ni kweli, ila zipo kanuni ambazo wote hawaziachi. Mfano kurudisha 10% kwenye charity au kugusa jamii. Wengi wanafanya h8vyo. Mfano mmoja mwenye asili ya uyahudi amewahi kutoa zaidi ya trillion 20 kama charity. Msingi wa hii ni maandiko. Ziko kanuni ambazo zimekuwa embeded kwenye mifumo yao hata wakimuacha Mungu
 
Hawakoboi Mchele wanakula hivo hvo pia hawamenyi ndizi wanakula na maganda yake wanakula sana uyoga
 

Kwahiyo wachina mnaowasifia kila siku hawana akili maana wao ndo wanaongoka kula mdudu.
 
NIseme Ukweli Nimependa Uwezo wako wa Kujenga hoja..

Japo naomba Kusema kitu..

Walatin walikuwa na Msemo wao Mmoja Huwa naupenda sana..

"Timor confingitur, quamquam periculum vere accidere potest."

Yaani..

"Fear is fabricated, although the danger can truly happen."

Namaanisha kwamba Hukuzaliwa tu ukajua Kuwa nyoka ni kiumbe wa ajabu na unapaswa kumkwepa wakati huo ukajua kuwa mjusi si kiumbe hatari na haupaswi kumkimbia..

Wakati huo ukajua Ng'ombe unapaswa kumfuga na wala hana madhara kwa binadamu na Simba Ama madhara na Huwezi kumchukua Porini ukamuweka Nyumbni umfuge..

Namaanisha nini If you want to bult empire You have to stated with strategies, Plan How you going to Put it together how utaovercome Failure et al..

Did you think Israel ilipoanzishwa mwaka 1947 hawakujua Vyote hivyo?

Napoleon Hills Aliwahi kusema "The Hardest and Dangerous Prisone to escape is in Your Own mind"

Kama Nilivyosema Mwanzoni More than 60% Ya Dunia Hii wote Ni Dini Hizi tatu Christian, Muslim and Judaism..

Na wote hawa Wanawatukuza Wayahudi kama Ni Mitume na Taifa Teule ama lililokuwa Teule..
Ukija kwa Wakristo watakuambia Wayahudi ni Watu wa Mungu..

Sasa Hapo ndo inakuja Dhana ya kuwa Hakuna Gereza walilotuweka ambalo ni gumu kutoka Kama gereza la Imani kwa sababu Mtu yuko tayari kutetea hata afe kwa ajili hiyo..

Vipi kuhusu Vita na wayahudi kushinda kila mara kwani inashindikana Kuwapiga Bomu la Kushtukiza ghafla.... (Inawezekana) sasa Why, Cuz they just fabres things and They want you to beleive that Wayahudi wako powerfull Japani aliwahi kuchapwa Na nyuklia Mpaka leo ana athali ya Hiroshima..

So Hata Palestina na Israel those are just Message they want you to see that They are powerfull wakati Huenda Si kweli..

Ukitaka Kujua Israel is not israel as We think Just angalia Utetezi wanaopata kwa Nchi kwenye vikao vya UN..
Kuna Vitu hupandikizwa Vichwani vyetu ambavyo Unaweza ukajiuliza kwanini Tunaambiwa au tunaonheshwa hivyo..

Mwaka 1996 Kulifanyika Peer Traditional Experiments iliyohusisha nyani (Nitakuwekea hapo chini Kwa ajili ya kuweka Records Sawa) na mwaka 2008 kulifanyika pia experiments hiyo hiyo ila ilikuwa ya watu japo.ilikuwa Kwenye sense tofaufyi nikipata nitakuwekea pia..

Hii Ndo experiments
Your browser is not able to display this video.


So Kitu kitakachotusaidia ni Only kuchange mindsets Yetu kuweka akili zetu sawa na Ku"Unlearn kila kitu walichotupandikiza na kutufundisha Hiyo ndo njia sahihi ya Kuchomoka""

This was All a mind sets Games to us
 
Ni Taifa lililobarikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…