Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
-
- #81
Unatofautishaje kuwa mafunzo haya si ya ufalme wa Mungu bali ya ufalme wa shetani?Kama hafundishi mafundisho ya ufalme wa Mungu anafundisha habari za ufalme wa ulimwengu huu huyo ni nabii feki
Kwanini unabii na utume ukomee kwa Yesu pekee na usiendelee wakati watu wa Mungu wanaendelea kuishi?Wote wanaojiita MANABII NA MITUME KWA SASA WOTE NI MATAPELI WATUPU NA SII WAKRISTU. UTUME NA UNABII ULIISHIA KWA KRISTU
Ni kweli kabisa, Manabii wote walipewa miujiza ila watu wao wapate kuwaani,ingawa pazia la mitume na manabii lilishafungwa, nabii na mtume wa Mwisho ni mtume Muhammad( S.A.W) hao wengine wongoKwahiyo kipimo cha nabii wa ukweli kwako wewe ni miujiza?
Ndiyo, upo sahihi kabisa.Kwahiyo wale wanaotuhubiria kuwa tukitenda dhambi tutaishia kwenye hukumu ya moto ndiyo manabii wa uongo?
Bila reference, hizi hoja zako ni takataka.Ibilisi =shetani
Mnyama=ufalme wa kutisha wa Nne wenye Pembe ndogo 7 na Pembe moja katokati =Utawala wa Rumi = Vatican
Nabiii wa Uongo= yule aliyekuja baada ya kristo akijiita nabii na kueneza injili mpya isiyo ya kristo = Mohammed Dini ya Uongo =Islamic
Vitu raisi tuu mwanawane
B is the correct answerUna wito? Au unafungua huduma kwa ajili ya shibe yako?
Wachunguze labda uwe hujui mafundisho lakini, kuna mambo wanachomekea kupotosha.Swali ni kuwa unawatambua vipi ikiwa wote wanapayuka kwa jina la Yesu na wanaonesha kwa dhati kuwa wanaifuata njia iliyo ya haki?
We ni muislamu au mkristo?Ni kweli kabisa, Manabii wote walipewa miujiza ila watu wao wapate kuwaani,ingawa pazia la mitume na manabii lilishafungwa, nabii na mtume wa Mwisho ni mtume Muhammad( S.A.W) hao wengine wongo
Wachunguze labda uwe hujui mafundisho lakini, kuna mambo wanachomekea kupotosha.
Pia kuna wale wa ukweli ila wanasingiziwa ni kuwa wa uongo. KIPIMO HASA CHA KUWAJUA NI;
Nabii wa kweli atakueleza kwa Yesu alikufa na kufufuka msalaba ni, kinyume na hapo huyo ni wa uongo
Then Go for it, ikiwa machoni pako waona ni sahihi kufanya hivyo.B is the correct answer
Kwahiyo hamna kuchomwa moto wala jehanamu kwa watendao dhambi kulingana na maandiko uliyosoma wewe au mimi ndiyo sijui biblia? (Malaki 4:1, Yuda 1:7 ufunuo 20:14-15)Ndiyo, upo sahihi kabisa.
Kama wewe ni mkristo, soma vizuri barua za Paulo katika biblia zinaeleza vizuri haya
Je, Kanisa Katoliki ndiye mnyama wa nne duniani wa Unabii wa Daniel na Ufunuo?
Mnyama wa kitabu cha Ufunuo Watu wengi hawafahamu kuwa mnyama ni nani, na wengi wamejihusisha naye bila wao wenyewe kujua kama wanashiriki na mnyama. Lakini Mungu hajatuacha gizani, hivyo, kwa kupitia neno lake (Maadiko Matakatifu) tunaweza kumfahamu mnyama huyu aliyelezwa katika kitabu cha...www.jamiiforums.com
[emoji1787]Hao wote masela wanaotakiwa kupelekwa soba hausi
Una kitu ila haujakiweka sawa hili hoja yako iwe na uzito unaostahili kama vipi fafanuaIbilisi ni mungu
Mpinga kristo ni mungu
Mnyama ni mungu.
Tena mungu muweza wa yote