Ipi tofauti ya Ibilisi, Mnyama na nabii wa uongo?

Ipi tofauti ya Ibilisi, Mnyama na nabii wa uongo?

Ibilisi =shetani
Mnyama=ufalme wa kutisha wa Nne wenye Pembe ndogo 7 na Pembe moja katokati =Utawala wa Rumi = Vatican

Nabiii wa Uongo= yule aliyekuja baada ya kristo akijiita nabii na kueneza injili mpya isiyo ya kristo = Mohammed Dini ya Uongo =Islamic

Vitu raisi tuu mwanawane
 
Wote wanaojiita MANABII NA MITUME KWA SASA WOTE NI MATAPELI WATUPU NA SII WAKRISTU. UTUME NA UNABII ULIISHIA KWA KRISTU
Kwanini unabii na utume ukomee kwa Yesu pekee na usiendelee wakati watu wa Mungu wanaendelea kuishi?
 
Kwahiyo kipimo cha nabii wa ukweli kwako wewe ni miujiza?
Ni kweli kabisa, Manabii wote walipewa miujiza ila watu wao wapate kuwaani,ingawa pazia la mitume na manabii lilishafungwa, nabii na mtume wa Mwisho ni mtume Muhammad( S.A.W) hao wengine wongo
 
Kwahiyo wale wanaotuhubiria kuwa tukitenda dhambi tutaishia kwenye hukumu ya moto ndiyo manabii wa uongo?
Ndiyo, upo sahihi kabisa.
Kama wewe ni mkristo, soma vizuri barua za Paulo katika biblia zinaeleza vizuri haya
 
Ibilisi =shetani
Mnyama=ufalme wa kutisha wa Nne wenye Pembe ndogo 7 na Pembe moja katokati =Utawala wa Rumi = Vatican

Nabiii wa Uongo= yule aliyekuja baada ya kristo akijiita nabii na kueneza injili mpya isiyo ya kristo = Mohammed Dini ya Uongo =Islamic

Vitu raisi tuu mwanawane
Bila reference, hizi hoja zako ni takataka.
 
Swali ni kuwa unawatambua vipi ikiwa wote wanapayuka kwa jina la Yesu na wanaonesha kwa dhati kuwa wanaifuata njia iliyo ya haki?
Wachunguze labda uwe hujui mafundisho lakini, kuna mambo wanachomekea kupotosha.
Pia kuna wale wa ukweli ila wanasingiziwa ni kuwa wa uongo. KIPIMO HASA CHA KUWAJUA NI;
Nabii wa kweli atakueleza kwa Yesu alikufa na kufufuka msalaba ni, kinyume na hapo huyo ni wa uongo
 
Ni kweli kabisa, Manabii wote walipewa miujiza ila watu wao wapate kuwaani,ingawa pazia la mitume na manabii lilishafungwa, nabii na mtume wa Mwisho ni mtume Muhammad( S.A.W) hao wengine wongo
We ni muislamu au mkristo?
 
Wachunguze labda uwe hujui mafundisho lakini, kuna mambo wanachomekea kupotosha.
Pia kuna wale wa ukweli ila wanasingiziwa ni kuwa wa uongo. KIPIMO HASA CHA KUWAJUA NI;
Nabii wa kweli atakueleza kwa Yesu alikufa na kufufuka msalaba ni, kinyume na hapo huyo ni wa uongo

Kwanini kushuhudia kifo cha Yesu na kufufuka kwake ni jambo linalotiliwa maanani mno kuliko hata ibada ya Mungu?
 
Ndiyo, upo sahihi kabisa.
Kama wewe ni mkristo, soma vizuri barua za Paulo katika biblia zinaeleza vizuri haya
Kwahiyo hamna kuchomwa moto wala jehanamu kwa watendao dhambi kulingana na maandiko uliyosoma wewe au mimi ndiyo sijui biblia? (Malaki 4:1, Yuda 1:7 ufunuo 20:14-15)
 
Hao wote masela wanaotakiwa kupelekwa soba hausi
 
Back
Top Bottom