Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Shida ni kwamba maono ya Magufuli alikuwa anataka kuyatekeleza kwa watu wapumbavu.

Yani kosa la Magufuli ni kujaribu kuwazindua watu wajinga wajitambue
Yeye ndiye alikuwa mjinga namba moja, huku niliko kila ukijitambulisha unatokea tz wanauliza kwa yule rais mjinga aliyeikana corona lakini ikamwondoa mwenyewe? Wanashangaa tulimchaguaje zwazwa atuongoze
 
Ushauri huu asiufanyie kazi amseme vibaya JPM kwa wananchi kwenye mwendo Kasi atapigwa auwawe.
 
Alikugusa mpiga dili huwezi kumpenda
 
Mnafiki wewe unayelalamika eti umasikini wako umesababishwa na JPM kumbe mchawi Ni nwenyewe kuendekeza chuki za kijinga dhidi ya watu.
Mimi siyo maskini jinga wewe, kama wewe ni maskini usidhani kila mtu ni maskini mf
 
Vyeti feki ni pamoja na Bashite?
 
Daah jamaa kasaulika mapema sana. Hata nusu mwaka bado!
 
Hakuna mtu ambaye anapendwa au kuchukukiwa na watu wote. Hata Iddi Amin, Hitler na makaburu kuna watu walikuwa wanawapenda.
Wale wale ID zile zile mnaama tu threads, mkimaliza mnajifariji JPM alikuwa hapendwi. Njoo kitaa utayapata majibu mazuri kuhusu JPM.
 
Kwa waliokuwa wanaokotwa kwenye viroba, ndugu zao bado wanaimani jamaa zao wamekimbia familia!! Duh walioshiriki kuuwa Mungu anawaona!!!
 
Kwa waliokuwa wanaokotwa kwenye viroba, ndugu zao bado wanaimani jamaa zao wamekimbia familia!! Duh walioshiriki kuuwa Mungu anawaona!!!

Mkuu imeandikwa tusamehe x7x70 kwa sababu si rahisi kufanya hivyo (difficult but not impossible).

Ikibidi mtu anaweza kufanya hivyo.

Ndiyo maana ya mapendekezo haya tokea katika aliyoleta mleta mada:

1. Kichwa cha habari - sawa.
2. Aya ya kwanza - sawa.

Tuishie hapo.

Kama tulivyowasamehe makaburu, Nduli Amini, Hitler, wakoloni, wafanya biashara ya utumwa nk.

Tusahau tu yaliyopita kuhusu huyu bwana maisha yaendelee. Lakini katu, hayakuwa mema hata kidogo na tujipange yasije kutukuta tena.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Wale wale ID zile zile mnaama tu threads, mkimaliza mnajifariji JPM alikuwa hapendwi. Njoo kitaa utayapata majibu mazuri kuhusu JPM.

Hiyo mitaa itakuwa ni ile ambayo:

1. Wa kwenye viroba hawakuwa wakiishi
2. Kina Ben, Azory hawakuwa wakazi
3. Kina Mawazo hawakuwa wakazi
4. Kina Lissu hawakuwa wakifahamika au kuishi
5. Wote hao #1, 2, 3, na 4 hawakuwa na ndugu jamaa au marafiki.

Mkuu labda unaongelea mitaa ya Chatto walikokuwa hata wameahidiwa mkoa?

Kama wenye jamaa zao waliopotea wanammiss unayemwita mwamba, "then God must be crazy!"
 
Yule alikuwa kichaa kabisa, sijui kwanini vyombo vya usalama havikiligundua hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…