Sasa kama uko kwenye kundi wajinga wenzio unategemea wakujibuje?Yeye ndiye alikuwa mjinga namba moja, huku niliko kila ukijitambulisha unatokea tz wanauliza kwa yule rais mjinga aliyeikana corona lakini ikamwondoa mwenyewe? Wanashangaa tulimchaguaje zwazwa atuongoze
Anayesamehewa ni anayeomba radhi. Huyu kafa bila kuomba radhi na hata huko Jehanum sidhani kama kuna msamaha. Mimi napendekeza kwamba viongozi wake aliowateua na washirika wake ambao bado tunao hapa hapa, wajitokeze na watuombe radhi Watanzania.Mkuu imeandikwa tusamehe x7x70 kwa sababu si rahisi kufanya hivyo (difficult but not impossible).
Lawama zipo jf na twitter. Mitaa imemiss ile mbaya.
Kikatiba yepi. Au umakariri tu kikatibaKwa kosa gani? Huo msamaha baki nao mwenyewe. Alitimiza majukumu yake ya kikatiba na kuleta maaendeleo kwa spidi kubwa hadi kifo kilipomchukua. Staili yake ya uongozi haikuwa ya blabla na maneno matamu mliyozoeshwa bali vitendo vyenye matokeo tu.
Ndg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.
Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Kwa hiyo walewale watu waliojitokeza kwa wingi kumuaga ,na ambao tuliwaona kwa macho yetu.Na wengine wakafa kama 40.Na hawakubebwa hata na malori.Ndio wanaorusha lawama?Au ni kikundi kidogo cha majambazi,walarushwa,wauza madawa,wenye vyeti feki,mliojificha mitandaoni.Ndg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.
Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Kwako wewe,Lissu alikuwa mkwepa kodi au alikuwa na vyeti feki ambaye adhabu yake ni kumiminiwa risasi zisizokuwa na idadi kwa nia ya kumuua. Ben Saanane vyeti feki adhabu yake ni kumpoteza, Azori Gwanda mkwepa kodi adhabu yake kumpoteza, Mawazo vyeti feki adhabu yake ni kupigwa mashoka na mapanga mpaka kufa, Mdude Nyagali mkwepa kodi, adhabu yake ni kumteka mara mbili na kumtesa sana na kisha mfungulie kesi ya madawa, Roma Mkatoliki, Mo Dewji nk.Mkuu hata ukimuombea msamaha Kuna watu hawatoweza kumsamehe kwa sababu aliwabana Sana na wao Ni wakwepa Kodi,vyeti feki ,wapiga dili wakaishi maisha ambayo hawakuwahi kuwaza wataishi wanahasira sana.wengi wanaomtukana yule mzee Ni wabinafsi tu hawana mapenzi mema na taifa hili.
Huyu tunaye kyama, hatapumzika Kwa Amani kamwe! Mwovu shweitwan waheedNdg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.
Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
"kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe, siku ile inakuja"Ndg zangu watanzani mimi ni kati ya watu waliomchukia sana magu kwasababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya kwanza ila ya pili hujirekebisha pengine jpm angejirudi ktk awamu ya pili ila mungu hakumpa nafasi.
Hii nchi kweli kuna mambo tulizingua hivyo tulihitaji angalau mtu wa aina yake ila tulikosa speed governer na regulator.
Kwa hiyo walewale watu waliojitokeza kwa wingi kumuaga ,na ambao tuliwaona kwa macho yetu.Na wengine wakafa kama 40.Na hawakubebwa hata na malori.Ndio wanaorusha lawama?Au ni kikundi kidogo cha majambazi,walarushwa,wauza madawa,wenye vyeti feki,mliojificha mitandaoni.
Watu wa kimara wabomoleeni tu hizo nyumba lkn watu wa Mwanza msiwabomolee hao ndio walionipigia kura nikawa rais.
Jamaa kwa kubagua alikua vzr.
Kama akiwa Rais hapa duniani ulishindwa kukutana naye, huko utaweza vipi kukutana naye yeye akiwa kiongozi wa malaika!?Labda nikifa nitaenda kumuombe huko huko tukikutana
Na walioko JF na twitter hawako mitaani.... wako Malinyi.Lawama zipo jf na twitter. Mitaa imemiss ile mbaya.
Kaka usijisumbue juu ya hao mbumbumbu waimba mapambio. Kutokana na umbumbumbu wao Hayati kila alipokuwa akiwaambie Tanzania ni nchi tajiri na ataifanya kuwa donor country basi mbumbumbu walikuwa wakikenua meno na kuona maisha yao tayari yamebadilika kwa kauli hiyo.Alikuta sukari sh ngapi?
Mafuta ya kula sh ngapi kwa ltr?...
Kwani bwana yule alikuwa na ubongo?Unaweza kunipa hii qoute ad verbatium..., sababu sidhani kama mtu mwenye ubongo anaweza kupayuka hayo maneno let alone kiongozi...
Mi bado nasubiria tugawiwe zile Noah tulizoahidiwa baada ya kushikilia yale makinikia. Wale maprofesa walimpatia sana mwendazake...Kaka usijisumbue juu ya hao mbumbumbu waimba mapambio. Kutokana na umbumbumbu wao Hayati kila alipokuwa akiwaambie Tanzania ni nchi tajiri na ataifanya kuwa donor country basi mbumbumbu walikuwa wakikenua meno na kuona maisha yao tayari yamebadilika kwa kauli hiyo...
"Huyu jogoo uliyenipa, uje Chato nikupe mama yangu umuoe""asietaka kutoa hela abaki na mav* yake nyumbani"
Eti mtaani mtaa gani ambayo jf na twitter hawapo?πππππLawama zipo jf na twitter. Mitaa imemiss ile mbaya.