Uchaguzi 2020 Ipo mifano hai kuwa Lissu atashinda Urais 2020, CCM tusijipe matumaini nawaambieni

Mtz kulewa pombe tena ni matumizi mabaya ya akili aliyokujalia Mwenyezi Mungu, pombe ni haramu pombe imeleta umasikini, utengano, ukabila,
 
Huu ni ushahidi kuwa akiweka Jina, Litaturu halina kitu! amshukuru ameamua kugombea Urais
 
Tatizo wanaccm wanadhani watanzania ni walewale, ujio wa lissu umefanya ccm wote wamepaniki.Nimeshangazwa mpaka polepole.ukweli in kwamba mgombea pekee anayeogopwa na ccm safari hii ni lissu, tukubali ama tukatae.mpaka msajiri na tume wamepaniki pia.
 
Tuliposema mwanaume ameingia wengi hawakuelwea tunasema nini.
 
Kuweza ni kitu kimoja na kufanya ni kitu kingine.
 
Unashirikisha wezi kujadili wizi?
Unashirikisha wazembe kujadili uzembe?
Unashirikisha nini zaidi ya kuikemea?
 
Ushahidi usiokuwa na shaka unadhihilisha kwamba RUSHWA na Wizi wa kura viko kwenye DNA ya ccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…