Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
HakikaKwangu mimi uteuzi wa Lissu kuwa mgombea urais wa Chadema/upinzani ilikuwa muhimu, si tu kwa sababu ya nguvu za Lissu kama mwanasiasa, pia kama kielelezo cha utofauti kwa wale wanaotaka mabadiliko. Ni kuonyesha walau kwa namna fulani kwamba wamejifunza kutokana na ile blunder walioifanya Chadema mwaka 2015.
yani lisu aingie ktk ikulu mpya ya chamwino aliyeijenga magu... hichi kitu hakiingii akiliniWasalaam wajumbe wa jukwaa hili!
Naomba kudeclear kabisa kua mimi ni Mwanaccm toka 1997, nachozingumzwa hapa naomba nisipelekwe ufipani.
Ninachoshangaa na wanaccm wenzangu kujawa hopes kua tunaweza kushinda uchaguzi huu kwa urahisi hivyo, naomba ni waambieni kwa ushahidi huu kua Lissu ni kisiki kizito mara 10 ya Dr Slaa wa 2010 au LOWASSA wa 2015.
KWANINI LISSU ANAWEZA KUSHINDA?
Nikikumbuka na ya kuyafikiria haya ninashauri kabisa CCM tusibweteke na kujisahau.
1.Mwaka 2010 Tundu Lissu aliwahi kushinda ubunge katikati ya ngome ya CCM mkoa wa Singida na kujinyakulia Jimbo la Singida mashariki huku akiwa na madiwani 3 tu kati ya 17. Awamu iliyofuata 2015 alishinda tena na kuchukua kata 16 za madiwani akipoteza 1 tu.
2. Kuna wabunge wa CHADEMA wenye kauli kali sana za kujiamini na zisizoogopa mtu kama vile Mbowe, John Mnyika, John Heche,Godbless Lema na Halima Mdee, tujiulize kama kweli watanzania hawapendi kauli kali kwanini wabunge hawa mpaka leo hawajawahi kushindwa kwenye majimbo yao?
Kama watanzania wanapenda kauli za ukali basi Lisu anaweza kutoboa na lazima tufahamu kua ukali wa Lissu na Dr Mafufuli ni tofauti kidogo, Lissu anazidi kidogo ukali na Ukali wake ni unaambatana na sequences zenye facts za kisheria na hivi ni mtaalam wa sheria.
3. Kwanini hatuelewi kuwa Lissu ni mwanasheria mbozi, huu ushindi wa mezani wa kupita bila kupingwa tunajua atawashauri na kuwasomesha nini wagombea wa ubunge na udiwani?
Badala ya sisi kuweka mapingamizi basi tutakuta wao wametujazia mapingamizi.
Mkitaka kulijua hili muulizeni kuja jamaa moja anaitwa Wilson Nkhambaku mwaka 2010 alipohama CCM na kujiunga CHADEMA jimbo la Singida Magharibi baada ya kuonewa kwenye kura za maoni ccm, tulikimbilia kumwekea pingamizi lakini alichokifanya Lissu tunakijua mpaka huyo jamaa kupewa nafasi ya kugombea?
4.Niwaambieni kua Tundu Lissu ni zaidi ya jeuri kwenye mikakati ya uchaguzi, huyu ndiye aliyewashauri CHADEMA wenzake kua muda umeenda waachane na kulia na tume huru ya uchaguzi, aliwaambia "Tutashinda kwa tume hii hii pamoja na mapungufu yake".
Je, kuna nini hapo?
5.Jimbo la Singida Mashariki ni moja ya majimbo mengi Tanzania ambalo madiwani wake wote ni CHADEMA, Pamoja na jimbo kuchukuliwa Lissu akiwa ICU na kupewa Jamaa yetu moja wa CCM aitwaye Miraji Mtaturu lakini hakuna diwani hata mmoja aliyeunga mkono juhudi, tunajua Lissu aliwaambia nini?
Tukubali tuukatae ni lazima tuelewe kua uchaguzi huu wa mwaka huu siyo wa kawaida.
Hili inabidi upinzani uliangalieasante kwa uandishi mrefuuuuuuuuuuuuuuuu sana: maoni ya wananchi haya apa
izi ngonjera za jamii forum ziishe sasa mnaandika sana
Kamanda mr Ibu salute yako nakupa mkuu wanguUshawahi kumuona mtu anazama kwenye maji,Basi ndio magufuli litakalo mtokea.Yaani kama masihala vile kama hazami kumbe ndio anazama mnakuja kushtuka mnaona kimya haonekani.Hapo kinachofata ni kuzamia na kuitafuta maiti.oct 28 anachinjwa mtu.
Lissu ndiye Raisi ajaye....💪💪💪💪💪💪✌✌✌✌
Mkuu, haya maneno hayana ushabiki ndani yake???CCM hawana uzoefu wowote ndugu zaidi ya wizi wa kura na dhuluma.
Wenyewe kwa wenyewe tu wanaibiana.
Ushahidi upo.
Kama vilivyo vyama vyote duniani mkuu wetuHuko CCM kwenyewe Kuna makundi, wapo loyal wa mfalme na CCM asilia.
Yakitokea machafuko watu wa Aina yako ndio huwa wanapelekwa the Hagueyani lisu aingie ktk ikulu mpya ya chamwino aliyeijenga magu... hichi kitu hakiingii akilini
Mpaka WaTZ tutakapojielewa ndio itakuwa mkuuKwani wewe Ni Mungu,Nabii,Mtume au Mtabiri?
Malawi mbona imekua ,Kenya ilikua ,Zambia ilikua .kwani Tanzania iko Mars?
Mnajitoa Sana ufahamu mkidhani hii "nji "yenu😛Best unatutusi wengiiii hahaahhahahaah.
Tutaongea private best hahaahahhahaMnajitoa Sana ufahamu mkidhani hii "nji "yenu😛
Magufuli ameathiri negatively maisha ya Watanzania wote kwa maamuzi yake ya chuki na kibaguzi.Wasalaam wajumbe wa jukwaa hili!
Naomba kudeclear kabisa kua mimi ni Mwanaccm toka 1997, nachozingumzwa hapa naomba nisipelekwe ufipani.
Ninachoshangaa na wanaccm wenzangu kujawa hopes kua tunaweza kushinda uchaguzi huu kwa urahisi hivyo, naomba ni waambieni kwa ushahidi huu kua Lissu ni kisiki kizito mara 10 ya Dr Slaa wa 2010 au LOWASSA wa 2015.
KWANINI LISSU ANAWEZA KUSHINDA?
Nikikumbuka na ya kuyafikiria haya ninashauri kabisa CCM tusibweteke na kujisahau.
1.Mwaka 2010 Tundu Lissu aliwahi kushinda ubunge katikati ya ngome ya CCM mkoa wa Singida na kujinyakulia Jimbo la Singida mashariki huku akiwa na madiwani 3 tu kati ya 17. Awamu iliyofuata 2015 alishinda tena na kuchukua kata 16 za madiwani akipoteza 1 tu.
2. Kuna wabunge wa CHADEMA wenye kauli kali sana za kujiamini na zisizoogopa mtu kama vile Mbowe, John Mnyika, John Heche,Godbless Lema na Halima Mdee, tujiulize kama kweli watanzania hawapendi kauli kali kwanini wabunge hawa mpaka leo hawajawahi kushindwa kwenye majimbo yao?
Kama watanzania wanapenda kauli za ukali basi Lisu anaweza kutoboa na lazima tufahamu kua ukali wa Lissu na Dr Mafufuli ni tofauti kidogo, Lissu anazidi kidogo ukali na Ukali wake ni unaambatana na sequences zenye facts za kisheria na hivi ni mtaalam wa sheria.
3. Kwanini hatuelewi kuwa Lissu ni mwanasheria mbozi, huu ushindi wa mezani wa kupita bila kupingwa tunajua atawashauri na kuwasomesha nini wagombea wa ubunge na udiwani?
Badala ya sisi kuweka mapingamizi basi tutakuta wao wametujazia mapingamizi.
Mkitaka kulijua hili muulizeni kuja jamaa moja anaitwa Wilson Nkhambaku mwaka 2010 alipohama CCM na kujiunga CHADEMA jimbo la Singida Magharibi baada ya kuonewa kwenye kura za maoni ccm, tulikimbilia kumwekea pingamizi lakini alichokifanya Lissu tunakijua mpaka huyo jamaa kupewa nafasi ya kugombea?
4.Niwaambieni kua Tundu Lissu ni zaidi ya jeuri kwenye mikakati ya uchaguzi, huyu ndiye aliyewashauri CHADEMA wenzake kua muda umeenda waachane na kulia na tume huru ya uchaguzi, aliwaambia "Tutashinda kwa tume hii hii pamoja na mapungufu yake".
Je, kuna nini hapo?
5.Jimbo la Singida Mashariki ni moja ya majimbo mengi Tanzania ambalo madiwani wake wote ni CHADEMA, Pamoja na jimbo kuchukuliwa Lissu akiwa ICU na kupewa Jamaa yetu moja wa CCM aitwaye Miraji Mtaturu lakini hakuna diwani hata mmoja aliyeunga mkono juhudi, tunajua Lissu aliwaambia nini?
Tukubali tuukatae ni lazima tuelewe kua uchaguzi huu wa mwaka huu siyo wa kawaida.
Umejikita kwenye hoja likizo na nguvu na zimepitwa na muda. Uchaguzi una factors nyingi sana za kuangaliaWasalaam wajumbe wa jukwaa hili!

Mrema alikuwa ni moto si mchezo, "rais wa walalahoi" watu walisukuma gari lake kwa mikono. Alikuwa na nguvu sana pamoja uhuru wa vyombo vya habari kuwa mdogo.Hakuna uchaguzi rahisi kwa CCM kama mwaka huu! Uchaguzi mgumu ulikuwa 95 ya kina mrema na 2015 ya Edo! TL wala hatishi kwa Magu
Kwa kura tu magu anaangukia pua mapema saa 2 asubuhi.. ila kwa wizi na mbinu zile za Lubuva/Jecha, anaeza kupeta kwa kishindoSioni namna Magufuli atamshinda Lissu mwaka huu
Wasalaam wajumbe wa jukwaa hili!