Uchaguzi 2020 Ipo mifano hai kuwa Lissu atashinda Urais 2020, CCM tusijipe matumaini nawaambieni


wenye akili watakuelewa mkuu
 
Kwamfano Sasa hivi ule wimbo waupinzani umekufa kwishineyi Sasa hivi tunawaza namna yakuwashinda waupinzani
 
Bila matumizi ya dola na hila ccm hawashindi mwaka huu.
Sioni namna Magufuli atamshinda Lissu mwaka huu
Ahsante kwa maono yako.

Tusubiri tuone maana CCM si chama cha kubezwa, kina uzoefu mkubwa sana kwenye siasa za Tanzania.
Hakuna uchaguzi rahisi kwa CCM kama mwaka huu! Uchaguzi mgumu ulikuwa 95 ya kina mrema na 2015 ya Edo! TL wala hatishi kwa Magu
Hawezi kupata hata 5% yà kura
Weeeee.....magufuri ataipata wapi hiyo 5% ataisikia kwenye bomba labda 0.0001%..😂😂
Chadema bado ni wanaharakati siku mkiwa wanasiasa tutawapa nchi ila kwasasa tunachama kimoja makini nacho ni ccm na Magufuri ndio baba lao
2020 wananchi twende tukawaanyooshe hawa wanaharakati wanaopenda.shali kuliko maendeleo ya wananchi.
kama hujawahi kuona watu wanafanya kampeni uku wanazomewa ndo cdm sasa mwaka huu, wananchi hatuwataki
 
Ubarikiwe sana mkuu mwana ccm kindaki ndaki kwa kuwa mkweli ingawa kuna watu watakubeza kwa kuwa mkweli.
 
Hakuna aliye zaliwa na uzoefu wa jambo lolote bali ujifunzia hapa hapa duniani.

Hivyo hilo suala la uzoefu halina nafasi
Ahsante kwa maono yako.

Tusubiri tuone maana CCM si chama cha kubezwa, kina uzoefu mkubwa sana kwenye siasa za Tanzania.
 
Naona unavyo andika ukiwa unatetemeka
Chadema bado ni wanaharakati siku mkiwa wanasiasa tutawapa nchi ila kwasasa tunachama kimoja makini nacho ni ccm na Magufuri ndio baba lao
2020 wananchi twende tukawaanyooshe hawa wanaharakati wanaopenda.shali kuliko maendeleo ya wananchi.
 
Nithibitishie kama CCM iliwahi kushinda uchaguzi Zanzibar toka 1995.

Nithibitishie kama ule uchaguzi Serikali za Serikali za mitaa hakuwa ni UHUNI.

Sasa nikisema kwamba CCM hutumia Ofisi ya Msajili & Tume ya uchaguzi na Wakurugenzi wa majimbo kujipa ushindi ntakuwa nimekosea?

This time hatumwi mtu dukani maana unga ni robo.....!! Ni lazima wote tulizinguke sufuria ili tule sawa sawa !!
 
Kilikuwa na huo uzoefu walipokuwepo watu ambao ni vichwa kama akina kinana, Nape na Januari lakini hii timu ya sasa hakuna jipya siasa za mazoea zimepitwa na wakati.
Wape salaaaaaammmmm wana lumumba.
 
Asante sana mjumbe kama mjumbe
 
Hata ulichokiandika hakihusiani na uzi husika
asante kwa uandishi mrefuuuuuuuuuuuuuuuu sana: maoni ya wananchi haya apa

izi ngonjera za jamii forum ziishe sasa mnaandika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…