Ipo siku CHADEMA itamkumbuka Mbowe but itakuwa very late

Being alive alone doesn't mean he is efficient, able and capable. Change should be done immediately.
alafu chama kinaongozwa na watu wengi, wengine hawajakaa apo kumskiliza tu wana maamuzi
 
Lissu atakumbukwa daima kwa kupigwa risasi hadharani zilizompeleka nje ya nchi kutibiwa
pia atakumbukwa kwa kukimbia maandamano na kukimbilia nje akiacha wengine wajipambanie akiwa anakula maisha amsterdam
 
Wewe umezaliwa kisarawe na utafia huko kisarawe muache Lissu apasue anga za Kimataifa ndio maana mnakuwa wachawi.

Mimi mwenyewe ni Mzee wa viwanja kama Lissu nenda kaniroge.
Mkuu, una uhusiano wa karibu na lisu? Unavyorusha point zako hapa yani ni kama yeye kabisa mwezi unapokuwa kona 🤔😆
Btw, tunakujua wewe ni mtu wa viwanja, huhitaji kujitangaza!
 
Mbowe atakumbukwa kwa kuiba pesa zote za chama anajimilikisha kwa njia haramu akizitakatisha kwa kisingizio cha kujilipa madeni hewa akidai alikikopesha chama
 
mbna amesema kabisa kama una ushahidi peleka ofisini ama unaropoka kama mzee wenu antipas
Uletewe ushahidi hapo ghetto kwa mbowe unaposhinda ukila pesa za mbowe? Wewe kwa jinsi unavyomuona mbowe ni mungu malaika hata uletewe ushahidi gani utakataa , endelea kula pesa za mbowe alizoiba chadema angalau ziliwe na wengi kuliko angekula peke yake
 
pia atakumbukwa kwa kukimbia maandamano na kukimbilia nje akiacha wengine wajipambanie akiwa anakula maisha amsterdam
Hata wewe utakumbukwa kwa kula pesa za mbowe ukajitoa fahamu zote na kumuona Mbowe ni mungu hana Dhambi
 
alafu ela za kuendesha chama mtazitoa nyie
Mbowe pesa zote huiba chadema hana pesa binafsi zaidi ya kuiba pesa za chadema kisha kuzitakatisha na kujimilikisha kwa njia haramu ikiwemo kutengeneza madeni hewa na mambo mengineyo ya hovyo
 
Mbowe atakumbukwa kwa kugawa pesa kwa chawa wamtetea mitandaoni
 
Kama unapenda Mbowe karibishe ccm mkafuahie anguko .
 
lisu Kakimbia amsterdam kawaacha kwenye mataa mbowe kakomaa na nyie mpaka mwisho leo lissu ndo anaonekana shujaa, kwel minyoo pombe
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Kipimo cha IQ jf huwa ni mtu kuisema ID ya Jf, wewe pamoja na ufala wako njaa zako kwa mbowe mifano yako ya kijinga jinga hatujagusa ID yako, komaa na Hoja acha kuvuta bangi kisha kuleta usumbufu mitandaoni badala ya kumtetea boss wako Mbowe juu ya wizi wake unakuja na ujinga jinga wako utakusaidia nini kumsafirisha Mbowe
 
Mbowe Safari hii kakomeshwa pesa zote alizoiba zitaliwa na chawa wajinga jinga aliowasambaza mitandaoni wamtetee
 
Mbowe atakumbukwa kwasababu kakaa muda lakini ni bora kukumbukwa kuliko kuchokwa
Mbowe atakumbukwa kwa Rushwa ya ngono kwa viti maalum chadema atakumbukwa kwa visa alivyowafanyia wangwe na zito
 
Chawa wa mbowe inabidi mmushukuru Lisu kwa kuwasababishia kupata Ulaji kwa mbowe sasa mnakula pesa zote alizoiba Mbowe kwa pamoja angalau zimeliwa na wengi tofauti na zamani Mbowe alikula mwenyewe kiuchoyo,
 
Mbowe sasa anaweweseka gharama za kuununua uenyekiti zinazidi kupanda chawa wake wanakula pesa kama mchwa na mitandaoni hawamtetei vizuri wamekalia kuandika ujinga mtupu, Mbowe anaelekea kuchanganyikiwa sasa ndiyo maana sasa kajikita kwenye masimango na kuunda kamati za Roho mbaya chini ya uongozi wa mdee, wenje, Boniface sugu na wapika sumu wake ili wamdhoofishe Lisu, Mbowe kwa sasa Dua lake ni baya kwa lisu kwa Asilimia zote, anatamani Lisu afe apate kupumua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…