Naitumikia nchi inayoongozwa na Rais Samia ambaye amejitoa na kujitolea kuijenga nchi yetu
Wewe mchango weko ni kusifia na kutumikia mtu ?Naitumikia nchi inayoongozwa na Rais Samia ambaye amejitoa na kujitolea kuijenga nchi yetu
Naitumikia nchi inayoongozwa na Rais Samia ambaye amejitoa na kujitolea kuijenga nchi yetu
Mimi Ni mkulima na hiyo ndio kazi yangu, Jembe ndio kalamu yanguI hope na ww umeenda China now haha au ww level yako ni kupiga makelele huku tu
Tafuta kazi ya maana ufanye au Jenga hoja ambazo kila mtu zitampa faida na sio kulia kulia mapambio Tu hapa
Yy mwenyewe rais anajua Kwa Aina hiyo mnapamba tu
Mimi Ni mkulima na hiyo ndio kazi yangu, Jembe ndio kalamu yangu