Ipo siku CHADEMA watamkumbuka Rais Samia na kuelewa dhamira yake ya kuwatumikia Watanzania kwa uzalendo na upendo

Naitumikia nchi inayoongozwa na Rais Samia ambaye amejitoa na kujitolea kuijenga nchi yetu

I hope na ww umeenda China now haha au ww level yako ni kupiga makelele huku tu

Tafuta kazi ya maana ufanye au Jenga hoja ambazo kila mtu zitampa faida na sio kulia kulia mapambio Tu hapa

Yy mwenyewe rais anajua Kwa Aina hiyo mnapamba tu
 
Wewe mchango weko ni kusifia na kutumikia mtu ?

Nguvu zako / mawazo yako yangehitajika katika constructive ideas mfano kuepusha walamba asali wasiuze shirika letu la umeme na wahakikisha linafanya kazi at its potential.... Leta your critical constructive ideas sio kila siku kutumia energy kusifia (ingekuwa bora hata ungekuwa unakosoa) wangeweza kujirekebisha...

Uzalendo na upendo wa kuhamasisha ufisadi kwenye nchi yetu🐒🐒🐒
 
I hope na ww umeenda China now haha au ww level yako ni kupiga makelele huku tu

Tafuta kazi ya maana ufanye au Jenga hoja ambazo kila mtu zitampa faida na sio kulia kulia mapambio Tu hapa

Yy mwenyewe rais anajua Kwa Aina hiyo mnapamba tu
Mimi Ni mkulima na hiyo ndio kazi yangu, Jembe ndio kalamu yangu
 
Mazao yako unayolima umepata urahisi kiasi gani kusafirisha nje?

Bei ya mazao yako imepanda Kwa asilia ngapi?

Mbolea umepata Kwa wakati?
 
Back
Top Bottom