MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Haina shida. CHADEMA waandike barua kwa katibu mkuu wa CCM kuomba msaada wa jukwaa. CCM imebeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo wanachademaKatika hili nakuunga mkono 100%
Kama vipi CCM ya Lucas Mwashambwa imchangie Lissu jukwaa ambalo litakuwa movable Kila aendako.
Siasa Si uadui. Cc : Erythrocyte
ephen kaangalia mbali sanaRejea wakina Bashite kabla ya teuzi walikuwa wanavaa majaketi tena Bagamoyo joto ni 32 degrees lakini sasa hivi wanavaa mpaka suti za 5 milion
Luca kuna watu wanakusema eti umekosa teuzi marehemu kapata....Narudia kusema kuwa CHADEMA mna matatizo makubwa sana tena sana. Mnahitaji kupata msaada wa kisaikolojia. Mmejaa matusi muda wote utafikiri watu mliochaganyikiwa.
Ang'ang'ane kama Nabii Yakub bin Isihaka, ametoka mbali na Mwashambwa baada ya kumtia moyo kwenye dhoruba za kejeli na matusi muda si mrefu Mwashambwa anakuwa ana meno kama ya Bashite au Ole Sabayaephen kaangalia mbali sana
Hapo napingana na wewe.Wapo serious sana kwenye uzushi na ujinga.CHADEMA ni watu wa ajabu ajabu sana.hawapo siriasi kwa lolote lile.
Tui la naziHapo napingana na wewe.Wapo serious sana kwenye uzushi na ujinga.
Umeelewa mada yangu inahusu nini?😂 😂 😂
Acha hizo mbona Kikwete mwaka 2010 alianguka pale Jangwani kwenye Jukwaa la Chuma na hata hakuwa Chiba kama Lissu?
Una mijadala ya kitoto sana aisee. Alafu usipende kutweza utu au muonekano wa mtu. Hujafa hujaumbika
Wapo siriasi pia kwenye kutafuna michango ya watuHapo napingana na wewe.Wapo serious sana kwenye uzushi na ujinga.
Hakuna uwazi, ushirikishwaji na uwajibikaji katika Serikali. Wananchi hawana maamuzi na matumizi ya fedha zao. Zinatumika vibaya na wachache tu. Wacha Tundu Lissu awapige Spana hata kama atadondoka kwenye Jukwaa na kuvunjika kiuno lakini ujumbe uwafikie WatanganyikaWapo siriasi pia kwenye kutafuna michango ya watu
Hahah wanachekesha wahudhuriaji wachacheChadema bila ccm hawawezi kutoboa, c unaona hapa Chadema wamepewa kivuli na bango la ccm
View attachment 3010864
😎Uhuru wa kutumia rasilimali zao baadala kuziuza kwa Waarabu.
Na kodi za watanzania zinavyofujwa na watawala wewe hazikuhusu kabisa. Bora ukose mali lakini uwe na akili.Wapo siriasi pia kwenye kutafuna michango ya watu
Kodi za watanzania zinatumika vyema na ndio maana kuna maendeleo na miradi ya maendeleo Inaendelea kila kona ya nchi yetuNa kodi za watanzania zinavyofujwa na watawala wewe hazikuhusu kabisa. Bora ukose mali lakini uwe na akili.
Na zile report za CAG kila mwaka ni za uongo?Kodi za watanzania zinatumika vyema na ndio maana kuna maendeleo na miradi ya maendeleo Inaendelea kila kona ya nchi yetu
shule zamsingi kibao zakata zanazokosa madawati namadarasa yakutosha zipo chini ya serikali ipi?Umekuja kivingine na mifano iliyo hai! Wasipoelewa hapa tena basi...!🤸
watoto hawana madawati yakutosha achiliambali vyoo salama na madarasa.Kodi za watanzania zinatumika vyema na ndio maana kuna maendeleo na miradi ya maendeleo Inaendelea kila kona ya nchi yetu
Huyo luka naona alishakufa siku nyingi huu unaoandika ujinga ni mzimu wake tu ndiyo maana hayuko upto date na hali halisi ya mambo yanavyokwenda.watoto hawana madawati yakutosha achiliambali vyoo salama na madarasa.
hayo maendeleo mnayofanya Niyapi?
chizi hili linajitoa ufahamuHuyo luka naona alishakufa siku nyingi huu unaoandika ujinga ni mzimu wake tu ndiyo maana hayuko upto date na hali halisi ya mambo yanavyokwenda.
Amesifia hadi amepitiliza ndiyo maana hateuliwi wameshamuona ni mwezi mchanga huyochizi hili linajitoa ufahamu