Ipo siku Lissu atadondoka na kuumia vibaya sana kwenye Meza anazoandaliwa na CHADEMA atumie kama "Jukwaa"

Ipo siku Lissu atadondoka na kuumia vibaya sana kwenye Meza anazoandaliwa na CHADEMA atumie kama "Jukwaa"

😂 😂 😂
Acha hizo mbona Kikwete mwaka 2010 alianguka pale Jangwani kwenye Jukwaa la Chuma na hata hakuwa Chiba kama Lissu?
Una mijadala ya kitoto sana aisee. Alafu usipende kutweza utu au muonekano wa mtu. Hujafa hujaumbika
Umeelewa mada yangu inahusu nini?
 
Wapo siriasi pia kwenye kutafuna michango ya watu
Hakuna uwazi, ushirikishwaji na uwajibikaji katika Serikali. Wananchi hawana maamuzi na matumizi ya fedha zao. Zinatumika vibaya na wachache tu. Wacha Tundu Lissu awapige Spana hata kama atadondoka kwenye Jukwaa na kuvunjika kiuno lakini ujumbe uwafikie Watanganyika
 
Na kodi za watanzania zinavyofujwa na watawala wewe hazikuhusu kabisa. Bora ukose mali lakini uwe na akili.
Kodi za watanzania zinatumika vyema na ndio maana kuna maendeleo na miradi ya maendeleo Inaendelea kila kona ya nchi yetu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Umekuja kivingine na mifano iliyo hai! Wasipoelewa hapa tena basi...!🤸
shule zamsingi kibao zakata zanazokosa madawati namadarasa yakutosha zipo chini ya serikali ipi?

acha kisapoti mambumbumbu ambayo hayaoni kundule au Labda nawewe ndio walewale kundi lakenge
 
watoto hawana madawati yakutosha achiliambali vyoo salama na madarasa.
hayo maendeleo mnayofanya Niyapi?
Huyo luka naona alishakufa siku nyingi huu unaoandika ujinga ni mzimu wake tu ndiyo maana hayuko upto date na hali halisi ya mambo yanavyokwenda.
 
Back
Top Bottom