Hell is real
JF-Expert Member
- Aug 14, 2021
- 204
- 364
Hilo mbona liko wazi. It is just a matter of time. Siku tu vyombo vya dola vikikoma kuingilia uchaguzi CCM bye bye. By the way Talban walikuwa wanatawala kabla ya kufurushwa na majeshi ya Marekani kwenye kumsaka Osama bin Laden after September 11.Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda!!!
Aaah, kama Mbowe kawatawala kiakili nyie BAVICHA wachache, ni nini kinachowafanya muamini watz wengi ni punguani kiakili kama nyie?Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda!!!
Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda!!!
SASA hivi Ajira imekuwa kukaanga mihogo?. Kodi mpaka kwenye makalio bei juu kila kitu, Mafuta ya kupikia imekua almasi . Bila Polisi CCM ni wepesi kama nyoya.kwa tz ni ngumu sana . labda litokee tatizo kubwa kwa wananchi, njaa kali. ukosefu mkubwa wa ajira au gharama za maisha kupaa sana.
Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda!!!
Hao wananchi unaosema wamechoka, binafsi sijawahi kuwaona wakiongea kuhusu serikali zaidi ya kupambana na maisha yao
Ndo hvy mzee, CCM kutoka madarakani bado sana na Chadema watafanya kazi kubwa sana. Mfano haya mambo ya katiba mpya hua nayasoma tuu mtandaoni ila ukija mtaani hakuna anayezungumzia, mm nadhan tungekuwa na mioyo migumu ndio wananchi wangeweza kuitingisha nchiSome koment yangu hapo chini. Tunafikiria Sawa
Mkuu, kwenye ule uchaguzi mkuu feki wa mwaka jana (oktoba 28, 2020) wapo baadhi ya wananchi walijitokeza na kuchukua hatua, ingawa haikutangazwa sana...Yaani katika dunia ya leo pamoja na utandawazi, elimu na teknolojia ya mawasiliano uliyopo bado CCM waliweza kuvurga uchaguzi na kuingiza makada wao zaidi ya asilimia 90 kwenye bunge, na hakuna hata wananchi walioonyesha hasira na kutokuridhishwa na matokeo ya uchaguzi kwa namna yoyote ile?
CCM inaning'ninia kwenye kamba mbovu hadi sasa. Inategemea vyombo vya dola ambavyo sio reliable muda wote.Hilo mbona liko wazi. It is just a matter of time. Siku tu vyombo vya dola vikikoma kuingilia uchaguzi CCM bye bye. By the way Talban walikuwa wanatawala kabla ya kufurushwa na majeshi ya Marekani kwenye kumsaka Osama bin Laden after September 11.