Ipo siku upinzani utachukua nchi hii, CCM siku zinahesabika

Ipo siku upinzani utachukua nchi hii, CCM siku zinahesabika

Hell is real

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2021
Posts
204
Reaction score
364
Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda.
 
Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda!!!
Hilo mbona liko wazi. It is just a matter of time. Siku tu vyombo vya dola vikikoma kuingilia uchaguzi CCM bye bye. By the way Talban walikuwa wanatawala kabla ya kufurushwa na majeshi ya Marekani kwenye kumsaka Osama bin Laden after September 11.
 
yaani wewe unataka kufananisha Taleban na hawa wapinzani wa Tanzania wanaosubiri CCM ianguke bahati mbaya na sio kuiangusha...ndio maana hata Kigogo 2014 wa twieter anawashangaa...
 
Hilo linawezekana endapo wakijipanga vizuri ,
pamoja na kwamba kuna vikwazo kutoka kwenye utawala lakini vikwazo vikubwa viko kwenye vyama vyetu vya upinzani
 
Polisi wakiwachoka ndiyo mwisho wao. Pia wakumbuke jinsi Msiba alivyokuwa na kiburi lakini baada ya kuachwa leo hii analia. Ni swala la muda tu hata hawa polisi wamechoka na sarakasi za ccm. Kuna siku CCM itakuwa kama mtoto yatima.
 
Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda!!!
Aaah, kama Mbowe kawatawala kiakili nyie BAVICHA wachache, ni nini kinachowafanya muamini watz wengi ni punguani kiakili kama nyie?
Endeleeni kuota ndoto na kujifananisha na vyama msivyofanana navyo!
 
kwa tz ni ngumu sana . labda litokee tatizo kubwa kwa wananchi, njaa kali. ukosefu mkubwa wa ajira au gharama za maisha kupaa sana.
 
Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda!!!
 
Acha kufananisha taleban na vitu vya kipumbavu brother... Taleban wameloose maelf ya wenzao mpak kufikia hapo, ni mtutu mwanzo mwisho , always wapo on the field , sio hao wahuni wapo Twitter wengine USA wengine ubelgiji huko ....

IMG_20210815_214708.jpg
 
Nimewaza sana Talibani wanapigania uhuru muda wa miaka 20 hatimae wameupata, ninaamini ipo siku CCM itaondoka madarakani maana kiukweli wananchi wameichoka, hata wao wanajua sema wanatumia dola kubaki madarakani, ipo siku watanzania uvumilivu utawashinda na CCM itaondoka madarakani kwa kupenda au kutokupenda!!!

Unaota au unaongea tu ili kujifurahisha? Kwa kiwango cha uwoga wa Watanzania ninayoijua, CCM kuondoka madarakani itachukua karne nyingi mnoooo.

Yaani katika dunia ya leo pamoja na utandawazi, elimu na teknolojia ya mawasiliano uliyopo bado CCM waliweza kuvurga uchaguzi na kuingiza makada wao zaidi ya asilimia 90 kwenye bunge, na hakuna hata wananchi walioonyesha hasira na kutokuridhishwa na matokeo ya uchaguzi kwa namna yoyote ile? Alafu itegemee kwamba ipo siku CCM itakubali tu kiulaini eti tuandike katiba mpya, au tufanye tume ya uchaguzi iwe huru?

Mimi ndoto za mchana sipendi kabisa. Watanzania ni mazezeta ndo maana wanatawaliwa kindezi na watatawaliwa bado na CCM kwa miongo mingi sana.

Yaani kiongozi wa upinzani anakamatwa kindezi na kubambikiziwa kesi eti badala watu wakinukishe wanabaki kusubiri mataifa ya kigeni yawapiganie na wanafurahi kuona wawakilishi wa mabalozi wakijumuika nao mahakamani?

Badala ya kuitumia hiyo kama fursa, wakinukishe ili jumuiya ya kimataifa ione dhahiri kwamba watu wamechoka waingilie kati kwa kuwasaidia kuibana serikali. Kwa utulivu uliyopo bongo, hakuna serikali ya nje inayoweza kuibana CCM kwasababu itakuwa ni uchokozi wa wazi kabisa ila pangetifuka, uchumi uvurugwe hasa na pasikalike, mbona wangetafuta wapatanishi na kuunda tume huru?
 
Some koment yangu hapo chini. Tunafikiria Sawa
Ndo hvy mzee, CCM kutoka madarakani bado sana na Chadema watafanya kazi kubwa sana. Mfano haya mambo ya katiba mpya hua nayasoma tuu mtandaoni ila ukija mtaani hakuna anayezungumzia, mm nadhan tungekuwa na mioyo migumu ndio wananchi wangeweza kuitingisha nchi
 
Yaani katika dunia ya leo pamoja na utandawazi, elimu na teknolojia ya mawasiliano uliyopo bado CCM waliweza kuvurga uchaguzi na kuingiza makada wao zaidi ya asilimia 90 kwenye bunge, na hakuna hata wananchi walioonyesha hasira na kutokuridhishwa na matokeo ya uchaguzi kwa namna yoyote ile?
Mkuu, kwenye ule uchaguzi mkuu feki wa mwaka jana (oktoba 28, 2020) wapo baadhi ya wananchi walijitokeza na kuchukua hatua, ingawa haikutangazwa sana...

Hilo mbona liko wazi. It is just a matter of time. Siku tu vyombo vya dola vikikoma kuingilia uchaguzi CCM bye bye. By the way Talban walikuwa wanatawala kabla ya kufurushwa na majeshi ya Marekani kwenye kumsaka Osama bin Laden after September 11.
CCM inaning'ninia kwenye kamba mbovu hadi sasa. Inategemea vyombo vya dola ambavyo sio reliable muda wote.
 
Back
Top Bottom