Pre GE2025 Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jiwe alikua shetani mkubwa,na hao unaowasema pia ni mazuzu fulani hawana maajabu wala connection na mfumo mkuu wa nchi,
Nakubaliana na wewe kwamba jiwe alikuwa shetani na nusu. Lkn huyu tulie naye, alipaswa kuwa anafanya kazi za jikoni tu. Kuna siku alikuwa mgeni rasmi KKKT siku ya jumapili, akasema "nakushukuru kwa mwaliko, vinginevyo siku ya leo ningekuwa napanga nguo kabatini".
 
Kama samia kawa rais basi hao uliowataja wangekuwa better mara 100 ya samia
 
Jpm hakuwahi kumkubali Samia.

Ni vile tu protocol za chama zilimbana
 
Wapewe mara ngapi mzee, kila siku tunawapa maua yao. Ndugai na Bashiru Mungu awaweke sana. Mungu atawalipa kwa ujasiri wao.
 
Chunguza,
Mawazi au viongozi wajinga na mizigo wote aliowatema jpm kisha samia akawarudisha kwa shinikizo la msoga, wote utendaji wao umeonekana kuwa takataka kabisa.
 
Hatuwezi kuwasifu hata siku moja watu waliotaka kwenda kinyume na Katiba yetu hata kama mambo ni mabaya kiasi gani.
Sahivi kwenyewe katiba haifatwi, mambo ni yale yale tu. Angalau angekuwa mtanganyika mwenzetu tungesema sawa, ila huyu mzanzibari kutuibia inauma sana
 
Bora wauaji walikuwa wanaua mchwa wala nchi kuliko huyu hata bibiako kule kijijini kwenu atajifia tu kwa njaa
Atakufa vipi wakati wajukuu wake sasa wana ajira. Mama kamwaga ajira kila kona sasa hivi zimejaa
 
Hapa jukwaani wewe na Lumumba Malcom...

Ndio wasomi pekee mnaopingaga aina ya uongozi wa JPM na Nyerere bila hoja za msingi ...
Huyu mwamba anafeli sana hoja zake;hivi kwa mtu msomi na akili timamu unaweza kutetea uongozi mbovu uliojaa ufisadi na uzembe chini ya Samia!!
 
Reactions: G4N
Sisi hapa ndio tulikuwa tunataka Katiba ikiukwe.
Nikaenda mjini siku ile,tena nilikuwa sina nauli,nikaenda kwa mguu. Kidogo nipate sun-stroke.
Nimefika kule nikauliza,:"Yanasema nini magazeti ya Kenya,kwamba ' yupo kiongozi wa Afrika Mashariki anatibiwa Nairobi?"
Nikaambiwa,:" Wanasema ni Magufuli".
Nikasema,:"Now I am sad. Nataka Magufuli ainuke,atembee. Sitaki huyu Samia awe rais?"
Kwa hiyo,Samia akachaguliwa ,tukapinga,lakini,it was useless.
Watu wengi walikuwa wanampenda rais mpya. Walikuwa bado hawafahamu kuhusu predilection yake ya kuuza ardhi.
 
mambo hayaendi kwako lakini kwa nchi yanaenda vizuri sana
 
Umesema vizuri sana.
 
Ni kweli mambo hayaendi
wizi umekua mkubwa sana mnoo
maisha magumu matumaini hayaonekani mtu kama nchemba eti ni Waziri wa fedha unategemea mtaenda wapi kwa akili zile??

miradi mingi inaboronga tu na watumishi wote wamerudia ujimga wa enzi za kikwete tena zaIdi hakuna anaejali na waliambiwa wale kwa urefu wa kamba...kosa kubwa sana.
 
Mke wa kukimbia changamoto naye ni shida pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…