Ipo siku Watanzania tutaandamana kudai mfumo wa vyama vingi ufutwe

Ipo siku Watanzania tutaandamana kudai mfumo wa vyama vingi ufutwe

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.

Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.

Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.

Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!

Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
 
Uwendawazimu ndiyo huwa unaanza kwa namna hii ya kwako. Waombe ndugu zako wakuwahishe upate matibabu mapema ya afya ya akili. Tatizo la magonjwa ya akili, hujitambui kama unaumwa bali wenzako wakiangalia mambo unayoongea na kutenda, ndiyo hutambua kuwa kuna shida ya afya akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipo siku utanikumbuka.
 
KwahYo Pesa za misaada mtakubal Zifutwe?
 
Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.

Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha...
Mimi sikuwahi kusoma bure, mwaka 1962 niliingia darasa la tano kwa ada na 1966 niliingia sekondari kwa ada chini ya chama kimoja! Ada si kigezo mbona Chadema wakati wa Slaa ndiyo waliahidi elimu bure na wanaccm walihoji watapata wapi hela ya elimu bure?
Wewe unafaa kuwa mtumwa kutokana na uwezo wako wa kufikiri kuwa mdogo.
 
We kweli Juha..sasa kwani hayo yote yameshindikana vipi wakati chama kinachotawala tangu uhuru ni kile kile?
 
Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.

Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha...

Umeandika usivyovijua mlipata bure sababu Nyerere alikuwa bado ana hazina ya pesa aliyoachiwa na wakoloni.Zilipokwisha msoto ukaanza.Hakuwahi kuinua uchumi thus miradi yote ilimshinda ikafa
 
Back
Top Bottom