Gutapaka
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 283
- 219
Fuatilia
Vipi kuhusu China mbona wameweza?
Vipi kuhusu China mbona wameweza?
Utaandamana wewe peke yako na familia yako masikini wasio na future yoyote.Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.
Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.
Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!
Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.