Ipo siku Watanzania tutaandamana kudai mfumo wa vyama vingi ufutwe

Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.

Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.

Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.

Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!

Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Yaani wewe,Mumeo na Wanenu ndio Mnajiita wa Tanzania na Mna ndoto za kuandamana ?
 
Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.

Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.

Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Naunga mkono hoja, na kulitekeleza hili, hakuhitaji maandamano, tumeisha lianza kwenye uchaguzi wa 2020, tutalikamilisha 2025, kitakuwa ni kimoja tuu!.

P
 
Mayala, uwendawazimu wa uzeeni ni mbaya sana, aghalabu ni vigumu sana kupona. Hata hivyo usikate tamaa, nenda hospitali zinazotibu matatizo ya afya ya akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari nchi ni ya kijani, MBOWE hana kitu, Halima Mdee karudisha Mpira kwa kipa, Tundu Lissu kahamia jirani na kwa Papa, lema kaenda ughaibuni, Zitto rasmi karudi CCM, Maalim Seif ndio kawa official CCM chief, so where is vyama vingi now?
Kuna siku CCM itakosa wa kumtupia lawama kwa kushindwa kwake itasema kuna mambo Mungu ndio kawakwamisha ajiuzulu.
Kuna aina mpya ya kichaa imevamia ndani ya CCM na wakongwe wa chama hicho kwa vile wanaona na wamenyamaza huku kichaa akiwa na panga anazurura sokoni wacha waje wayaone!
 
Mimi sikuwahi kusoma bure, mwaka 1962 niliingia darasa la tano kwa ada na 1966 niliingia sekondari kwa ada chini ya chama kimoja! Ada si kigezo mbona Chadema wakati wa Slaa ndiyo waliahidi elimu bure na wanaccm walihoji watapata wapi hela ya elimu bure?
Wewe unafaa kuwa mtumwa kutokana na uwezo wako wa kufikiri kuwa mdogo.
Sio anafaa kuwa mtumwa, anaweza kuwa mtumwa tayari katika maisha yake ya kila siku maana akili yake inadhibitisha alivyo
 
Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.

Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.

Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.

Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!

Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Sure
 
Na wengine wakiandamano kuunga mkono uwepo wake msiwadunde.
 
Kuna siku CCM itakosa wa kumtupia lawama kwa kushindwa kwake itasema kuna mambo Mungu ndio kawakwamisha ajiuzulu.
Kuna aina mpya ya kichaa imevamia ndani ya CCM na wakongwe wa chama hicho kwa vile wanaona na wamenyamaza huku kichaa akiwa na panga anazurura sokoni wacha waje wayaone!
Hatari sana
 
Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.

Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.

Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.

Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!

Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Yanayoshibisha matumbo yao ni yale majinga ya CCM na ndo yatakayoandamana kupinga mfumo wa vyama vingi ili yabaki peke yao yashibe zaidi kwani wenye akili na Wapinzani wameona manufaa ya kuwa na vyama vingi ndo maana wanazuiwa kuandamana.
 
Kusiwe na Chama tu. Maana hata kikiwa kimoja bado kuiba kitaiba.
Kila mtu agombee binafsi.

Kuwe na mfumo tofauti tu wa kutengeneza sera, ambao wawakilishi wanaopitushwa na wananchi na wataalamu , wataandaa dira na sera tutakazo zifuata
 
Mayala, uwendawazimu wa uzeeni ni mbaya sana, aghalabu ni vigumu sana kupona. Hata hivyo usikate tamaa, nenda hospitali zinazotibu matatizo ya afya ya akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mayalla lazima aunge mkono mfumo wa Chama kimoja cha CCM maana ni mwanachama damudamu na ni homeboy kwa hiyo bado anamatumaini ya uteuzi ingawa miaka 5 ameunga juhudi lakini hakupata hata Ukatibu Tarafa pamoja na kuwa ni msomi kuliko wote wenye PhD za kule mahala wanaoteuliwa. Mayalla anapinga maandamano wizi wa kura unatosha!
 
Heshima mliyobaki nayo ni kwa yule mrithi wa Nkurunzizah na Kagame
Nani?we mama kapike chai wanaume tunywe.
Nakwambia kila siku unapata wp muda kuwa mwanaharakati hapa?
Pika chai mamdo hapa tuache sisi
 
Kwa nini upoteze muda wako weye uliyeanzisha hii topic.
Ni vyema kama ungewaheshimu wa TZ wengine usijione weye una akili au mjanja kuliko wao,kubali weye ubaki na yako na wao wabaki na yao na wala usiyakubali yao na wao wasiyakubali yako.....
Imekaa vizuri hiyo...
 
Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.

Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.

Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.

Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!

Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Andamana kupata Tume Huru ya uchaguzi na si unachokiwaza.Baada ya hapo uje na hiyo hoja.
 
Hakuna mtanzania ambae yuko forced, watanzania wamechoka kuwa na matapeli ya kisiasa. Kwa ufupi mfumo wa vyama vingi ulipokuja watu walifurahi wakijua watapata ukombozi. Lakini sasa ni matapeli tu yanayojishibisha kwa mgongo wa upinzanu.
Unasema hakuna mtanzania ambae yuko forced. Halaf hapo hapo unasema wamechoka? Walikwambia?
Narudi pale pale ww kama nani?

Umeandika as if hivyo vyama vya upinzani ndio vilikuwa madarakani. Oh wamechoka wametapeliwa? Chama tawala kikiwa wapi? Nani alikuwa mwenye madaraka by then?
 
Hata hivyo ni CCM inaongoza,,kwani umeona upinzani ukiongoza nchii,,,
Yote kumi maendeleo yanaonekana ndani ya CCM,, tumenunua ndege, tumejenga SGR, uwanja wa Chato,, na tumewanunua wapinzani tena kwa pesa zetu hakuna cha mkopo,,,,,,,, hahahahaha [emoji23]
Tunaenda hatua mbili mbele na tunarudi nyuma hatua kumi
 
Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.

Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.

Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.

Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!

Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Kwa hiyo unapingana na maneno ya Mwalimu kuhusu umuhimu wa vyama vingi? Nyie CCM mbona ni wanafiki saana.
 
Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.

Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.

Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.

Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!

Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Sasa kwani mliwalazimisha wale Covid 19 kuwa Wabunge ili hali wewe na Mabwana zako hamuutaki upinzani.
 
Back
Top Bottom