Ipo siku utanikumbuka.Uwendawazimu ndiyo huwa unaanza kwa namna hii ya kwako. Waombe ndugu zako wakuwahishe upate matibabu mapema ya afya ya akili. Tatizo la magonjwa ya akili, hujitambui kama unaumwa bali wenzako wakiangalia mambo unayoongea na kutenda, ndiyo hutambua kuwa kuna shida ya afya akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha nini?
Insane?
Mimi sikuwahi kusoma bure, mwaka 1962 niliingia darasa la tano kwa ada na 1966 niliingia sekondari kwa ada chini ya chama kimoja! Ada si kigezo mbona Chadema wakati wa Slaa ndiyo waliahidi elimu bure na wanaccm walihoji watapata wapi hela ya elimu bure?Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha...
Katiba ifutwe kutambua matapeli ya kisiasaTayari nchi ni ya kijani, MBOWE hana kitu, Halima Mdee karudisha Mpira kwa kipa, Tundu Lissu kahamia jirani na kwa Papa, lema kaenda ughaibuni, Zitto rasmi karudi CCM, Maalim Seif ndio kawa official CCM chief, so where is vyama vingi now?
Matapeli wa kisiasa ni Zitto na Maalim Seif, ACT Wazalendo, Augustine Lyatonga Mrema Lipumba, cuf and the likeKatiba ifutwe kutambua matapeli ya kisiasa
Cha nini?
Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha...