Inaonekana ulikuwa hujazaliwa, wakati wa hicho chama kimoja ndio tulivaa viraka, kupiga mswaki kwa chumvi, kufulia na majani ya mpapai. Kunywa chai ya sukari ilikuwa ni anasa. Leo hii watanzania tumekuwa makondoo ambayo kipropaganda inaitwa amani, hii ni kutokana na huo mfumo wa chama kimoja.Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha...
Wewe jamaa hujitambui. Sisi watanzania tupo radhi tupambane na kukomaa lakini utu wetu na uzalendo usipokonywe. Tupo radhi tukose chai lakini heshima ya utanzania ibaki palepale.Inaonekana ulikuwa hujazaliwa, wakati wa hicho chama kimoja ndio tulivaa viraka, kupiga mswaki kwa chumvi, kufulia na majani ya mpapai. Kunywa chai ya sukari ilikuwa ni anasa. Leo hii watanzania tumekuwa makondoo ambayo kipropaganda inaitwa amani, hii ni kutokana na huo mfumo wa chama kimoja...
Vilifutwa baada ya Uhuru nini kilibadilikaHujui kitu.
Soma historyUnao uhakika na ukweli?
KimaHatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha...
Sorry but i would like to ask? Ww na watanzania wapi? Unazungumza kama nani? Nani amekupa mandate ya kuwalilisha watanzania?Wewe jamaa hujitambui. Sisi watanzania tupo radhi tupambane na kukomaa lakini utu wetu na uzalendo usipokonywe. Tupo radhi tukose chai lakini heshima ya utanzania ibaki palepale.
Hapa tulipo waweza kusema kuna mgao wa umeme? Huna busara.
Hakuna mtanzania ambae yuko forced, watanzania wamechoka kuwa na matapeli ya kisiasa. Kwa ufupi mfumo wa vyama vingi ulipokuja watu walifurahi wakijua watapata ukombozi. Lakini sasa ni matapeli tu yanayojishibisha kwa mgongo wa upinzanu.Sorry but i would like to ask? Ww na watanzania wapi? Unazungumza kama nani? Nani amekupa mandate ya kuwalilisha watanzania?
Instead of kuwalisha watu maneno. Na kuwajaza false idea. Let the waamue wenyewe. Sio wawe forced by "you"
In which class are you?.Now you think you're in a favorite class,but things may be overturned spontaneously.Be sharp-minded, don't be mind-localized.Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha...
Hakuna mtanzania ambae yuko forced, watanzania wamechoka kuwa na matapeli ya kisiasa. Kwa ufupi mfumo wa vyama vingi ulipokuja watu walifurahi wakijua watapata ukombozi. Lakini sasa ni matapeli tu yanayojishibisha kwa mgongo wa upinzanu.
Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.
Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.
Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!
Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Heshima mliyobaki nayo ni kwa yule mrithi wa Nkurunzizah na KagameWewe jamaa hujitambui. Sisi watanzania tupo radhi tupambane na kukomaa lakini utu wetu na uzalendo usipokonywe. Tupo radhi tukose chai lakini heshima ya utanzania ibaki palepale.
Hapa tulipo waweza kusema kuna mgao wa umeme? Huna busara.
Wewe na nani?Nasema tutaandamana ufutwe.
Insane?
Wewe jamaa hujitambui. Sisi watanzania tupo radhi tupambane na kukomaa lakini utu wetu na uzalendo usipokonywe. Tupo radhi tukose chai lakini heshima ya utanzania ibaki palepale.
Hapa tulipo waweza kusema kuna mgao wa umeme? Huna busara.