Yaani wewe,Mumeo na Wanenu ndio Mnajiita wa Tanzania na Mna ndoto za kuandamana ?Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.
Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.
Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!
Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Naunga mkono hoja, na kulitekeleza hili, hakuhitaji maandamano, tumeisha lianza kwenye uchaguzi wa 2020, tutalikamilisha 2025, kitakuwa ni kimoja tuu!.Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.
Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Mayala, uwendawazimu wa uzeeni ni mbaya sana, aghalabu ni vigumu sana kupona. Hata hivyo usikate tamaa, nenda hospitali zinazotibu matatizo ya afya ya akili.Naunga mkono hoja, na kulitekeleza hili, hakuhitaji maandamano, tumeisha lianza kwenye uchaguzi wa 2020, tutalikamilisha 2025, kitakuwa ni kimoja tuu!.
Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi
Wanabodi, Kuna hii kauli ya "asiyefanya kazi na asile". Jee siasa nayo ni kazi ya kustahili mshahara kwa jina la ruzuku kwa vyama vya siasa? . Ruzuku hii iendelee kuwepo watu waendelee kuitafuna au ifutwe? . Japo sijafanya utafiti wa ni nchi ngapi zinagawa ruzuku kwa vyama vya siasa lakini kwa...www.jamiiforums.com
P
Kuna siku CCM itakosa wa kumtupia lawama kwa kushindwa kwake itasema kuna mambo Mungu ndio kawakwamisha ajiuzulu.Tayari nchi ni ya kijani, MBOWE hana kitu, Halima Mdee karudisha Mpira kwa kipa, Tundu Lissu kahamia jirani na kwa Papa, lema kaenda ughaibuni, Zitto rasmi karudi CCM, Maalim Seif ndio kawa official CCM chief, so where is vyama vingi now?
Sio anafaa kuwa mtumwa, anaweza kuwa mtumwa tayari katika maisha yake ya kila siku maana akili yake inadhibitisha alivyoMimi sikuwahi kusoma bure, mwaka 1962 niliingia darasa la tano kwa ada na 1966 niliingia sekondari kwa ada chini ya chama kimoja! Ada si kigezo mbona Chadema wakati wa Slaa ndiyo waliahidi elimu bure na wanaccm walihoji watapata wapi hela ya elimu bure?
Wewe unafaa kuwa mtumwa kutokana na uwezo wako wa kufikiri kuwa mdogo.
SureHatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.
Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.
Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!
Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Hatari sanaKuna siku CCM itakosa wa kumtupia lawama kwa kushindwa kwake itasema kuna mambo Mungu ndio kawakwamisha ajiuzulu.
Kuna aina mpya ya kichaa imevamia ndani ya CCM na wakongwe wa chama hicho kwa vile wanaona na wamenyamaza huku kichaa akiwa na panga anazurura sokoni wacha waje wayaone!
Yanayoshibisha matumbo yao ni yale majinga ya CCM na ndo yatakayoandamana kupinga mfumo wa vyama vingi ili yabaki peke yao yashibe zaidi kwani wenye akili na Wapinzani wameona manufaa ya kuwa na vyama vingi ndo maana wanazuiwa kuandamana.Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.
Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.
Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!
Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Mayalla lazima aunge mkono mfumo wa Chama kimoja cha CCM maana ni mwanachama damudamu na ni homeboy kwa hiyo bado anamatumaini ya uteuzi ingawa miaka 5 ameunga juhudi lakini hakupata hata Ukatibu Tarafa pamoja na kuwa ni msomi kuliko wote wenye PhD za kule mahala wanaoteuliwa. Mayalla anapinga maandamano wizi wa kura unatosha!Mayala, uwendawazimu wa uzeeni ni mbaya sana, aghalabu ni vigumu sana kupona. Hata hivyo usikate tamaa, nenda hospitali zinazotibu matatizo ya afya ya akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani?we mama kapike chai wanaume tunywe.Heshima mliyobaki nayo ni kwa yule mrithi wa Nkurunzizah na Kagame
Siyo utaandamana mwambie yule unaemuabudu mungu wako wa ikulu nakuomba futa vyama vingi.Nasema tutaandamana ufutwe.
Andamana kupata Tume Huru ya uchaguzi na si unachokiwaza.Baada ya hapo uje na hiyo hoja.Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.
Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.
Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!
Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Unasema hakuna mtanzania ambae yuko forced. Halaf hapo hapo unasema wamechoka? Walikwambia?Hakuna mtanzania ambae yuko forced, watanzania wamechoka kuwa na matapeli ya kisiasa. Kwa ufupi mfumo wa vyama vingi ulipokuja watu walifurahi wakijua watapata ukombozi. Lakini sasa ni matapeli tu yanayojishibisha kwa mgongo wa upinzanu.
Ndio useme. Sio unajibu short.Hujui?
Kwa hiyo unapingana na maneno ya Mwalimu kuhusu umuhimu wa vyama vingi? Nyie CCM mbona ni wanafiki saana.Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.
Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.
Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!
Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Sasa kwani mliwalazimisha wale Covid 19 kuwa Wabunge ili hali wewe na Mabwana zako hamuutaki upinzani.Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.