SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Hivi unajua kwa nini chama chako kimefanya jinai ya kugushi nyaraka ili kuwaingiza wale covid 19 bungeni? Kama ungejua nini kiko nyuma ya uhalifu huu usingeandika huu upumbavu.Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.
Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.
Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!
Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Huyo ni kilaza anatafuta kuteuliwaa tu.Sasa kwani mliwalazimisha wale Covid 19 kuwa Wabunge ili hali wewe na Mabwana zako hamuutaki upinzani.
Hawa ma CCM wanatekenya na kucheka wenyewe.Hadi wanakosa mwelekeo.
Huelewi Vyama vingi Nani aliagiza Vianzishwe kwa Akili zako unadhani ni CCMHatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.
Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.
Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!
Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Maajabu haya, kwahiyo mkuu vyama vingi ndio vinazuia haya unayo ya dai?Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.
Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.
Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!
Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
In modern society, the political party is the anvil on which the national interest is defined.Maajabu haya, kwahiyo mkuu vyama vingi ndio vinazuia haya unayo ya dai?
Naomba ueleze ni vipi vyama vinazuia haya
Unamsengenya Halima ama ?Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.
Watanzania ipo siku tutaandamana na kudai demokrasia ya chama kimoja ambayo huko nyuma ilitunufaisha.
Wakati wa chama kimoja, tulisoma bure msingi hadi chuo kikuu, tulipatiwa bure madaftari, pencil na vitu muhimu. Tulitibiwa bure bila usumbufu.
Leo hii Tanzania imejaza wahuni na matapeli ya kisiasa!
Bora wahuni wa kisiasa na matapeli tuwakatae. Turudi kuwa na chama kimoja ambacho kitawatendea mema watanzania. Hatuwezi kuwa na wapinzani ambao ni washibisha matumbo yao na familia zao.
Nahisi Kama nimekuelewaUmeandika usivyovijua mlipata bure sababu Nyerere alikuwa bado ana hazina ya pesa aliyoachiwa na wakoloni.Zilipokwisha msoto ukaanza.Hakuwahi kuinua uchumi thus miradi yote ilimshinda ikafa
Wakoloni hawakuwa na shida na vyama vingi,wanajua bila vyama vingi Hakuna maendeleoNahisi Kama nimekuelewa
Kwa hiyo tuandamane ili wakoroni waludi
Si kufuta vyama vyingi
HII NDIYO POINT. Ukweli ni kuwa CCM haijawahi kuwa chama cha siasa bali ni dola iliyojivisha koti la "chama". Ndivyo ilivyokuwa tangu enzi za chama kimoja.Yes vifutwe vyote Hata CCM!
Vipi kuhusu China mbona wameweza?Nafikiri ulikuwa unawaza jambo fulani na labda umeshindwa kulieleza vizuri.
Pamoja na Hilo ulilosema Kuna hasara kubwa Sana ya kulifanya Taifa liwe na chama kimoja.
Usione rahisi Sana kwa kuwa nchi zenye chama kimoja au ufalme zimepiga hatua kimaendeleo, ndani yake Kuna shida nyingi na damu nyingi zimemwagika kuifikia hatua hiyo kwa sababu mfumo huu huchukulia mawazo ya watu wote katika taifa husika hufanana kitu ambacho Ni batili. Yeyote atakayeonesha mawazo tofauti kifo kinamuhusu.
Fikiria tena ndugu kwa kuwa siasa Haina mpinzani wa kudumu Wala Rafiki wa kudumu maana hata wewe Ni mpinzani wa baadae dhidi ya CCM japokuwa kwa Sasa Ni kada.
Mkuu mbona hueleweki?? Utu wako uko mashakani kisa vyama vingi?? Kuna jambo nyuma ya pazia.Wewe jamaa hujitambui. Sisi watanzania tupo radhi tupambane na kukomaa lakini utu wetu na uzalendo usipokonywe. Tupo radhi tukose chai lakini heshima ya utanzania ibaki palepale.
Hapa tulipo waweza kusema kuna mgao wa umeme? Huna busara.
Umekosea. Wapinzani hawajawahi kushika madaraka. Kwa hiyo huwezi kuwalaumu kwa yale uliyokosa. Walaumu walioko madarakani tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Wapinzani na familia zao wana njaa kali kwelikweli pamoja na usalama wao kuwa hatarini.Hatuoni umuhimu wa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania. Ni matapeli wa kisiasa tu ambao wapo kwa ajili ya kupiga madili na kujaza vitambi.