Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,651
- 1,129
Siku yaja hivi karibuni
Watanzania watawapuuza walioungana na makundi ya Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi mengine yote ya kihuni baada ya kutaabika kwa muda mrefu
Taabu hizo zitatokana na adhabu kali za Serikali kwa makundi hayo ya kihuni kwasababu ya makosa ya uvunjifu wa Katiba na Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania