Ipo siku Watanzania watampuuza Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi yao yote baada ya kutaabika kwa muda mrefu

Ipo siku Watanzania watampuuza Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi yao yote baada ya kutaabika kwa muda mrefu

Acheni kutumia polisi, wanajeshi muone kama watampuuza,
Labda nikupe siri moja, Serikali imekaa ikasema kuwa Mange anaua future ya vijana, kwahiyo inapodhibiti hailengi vijana huwa inalenga wahuni wanaoharibia wengine
 
Hakuna anaye fuata muongozo wa mange ukweli ni kwamba Samia na ccm vimekataliwa na wananchi ...kuhusu maandamano ni rahisi sana kumuondoa samia kama mbinu ya maandamano itafuata muongozo wangu ni nyepesi na ya hatari kuliko mbinu yoyote...
Tatizo wanatumia jazba wakati ni mambo ya kuzungumza mezani
 
Mange na Maria "Watanzania tutoke ". WAO WAPO NAIROBI NA CALIFORNIE. Mtu anatumia tutoke inamaanisha na yeye yumo. Ila kumbe yeye yupo anga zingine. Watanzania sasa mjielewe na muache kutimiza ndoto za wengine.
Mange ana watoto amewafungia ndani pamoja na yeye kwahiyo vijana wa Tanzania wafe ili yeye baadaye akaishi na wanawe kwa amani yaani akachume matunda ya GZ waliyompandia
 
Binafsi style inayotumiwa na Mange Kimambi na wenzake siiungi mkono

Hata hivyo, hii haimaanishi kuwa naunga mkono upuuzi unaofanywa na serikali

Wanaovunja katiba na sheria za nchi sio hao kina Mange Kimambi, badala yake ni viongozi wa serikali na baadhi ya taaisi zake

Pamoja na yote, angalau huyo Kimambi na wenzake unaosema watapuuzwa wamesaidia pakubwa kujenga confidence kwa vijana, kufanya watu wajitambue na wameilazimisha serikali na taasisi zake zijitathimini

Ilivyokuwa mwanzo sivyo ilivyo sasa na sivyo itakavyokuwa huko mbeleni na yote hiyo hao uliosema watapuuzwa wanamchango wao

Amepuuzwa Nyerere pamoja na mambo yote aliyoyafanya sembuse Mange Kimambi?! Hii ni kawaida japo haimaanishi hawana mchango
Tatizo njia zao wanazotumia ziko against na dunia
Lakini pia matatizo ya Serikali yanazungumzika tatizo watu wanatumia jazba
 
Tatizo wanatumia jazba wakati ni mambo ya kuzungumza mezani
Mazungumzo ni impossible tumia akili uwezi kufanya mazungumzo na mtu kama samia na walio nyuma yake ni kosa kubwa sana ...samia ni muhalifu anatakiwa kukamatwa na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa yeye na familia yake yote...
 
Mazungumzo ni impossible tumia akili uwezi kufanya mazungumzo na mtu kama samia na walio nyuma yake ni kosa kubwa sana ...samia ni muhalifu anatakiwa kukamatwa na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa yeye na familia yake yote...
Tatizo mnatumia jazba niliwaeleza watu wakadai nakosea lakini walikuja kukiri baadaye
 
Tatizo la Mange ni mtu wa fujo na jeuri nikama Lissu
Lissu anataabika kwasababu ya jeuri
Lissu alishawahi kuitwa na Serikali ili wayajenge akawambia wasimpotezee muda

Yani Lissu akayajenge na huyu malkia ambaye hata kuiba hajui? Walishayajenga na mbowe, Lissu hafanyi biashara kichaa
 
Back
Top Bottom