IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

We ni graphics designer umeomba kazi wakakupiga pin nini ?? kizazi cha ITV hakijui hata 4k, yani movie inatoka nzuri Full HD wao wanaenda kuchukua yenye 360p au 3gp iliyotafsiriwa na Dj Murphy... Yaani unaweza kulia ila hii ndio Tanzania.
 
Nilidhani ni ubovu wa macho yangu ndio maana sioni picha clear
Kumbe kweli macho yangu yapo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…