IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

Huyu atakuwa mtangazaji wa ITV aliyechoshwa na utamaduni wa kale
 
kwa ubahiri wa wachaga na hiyo bei,..hapo lazima wachaga watoke nduki za kasongo yeye ,....😂😂🤣
 
kwa ubahiri wa wachaga na hiyo bei,..hapo lazima wachaga watoke nduki za kasongo yeye ,....😂😂🤣
 
kwa ubahiri wa wachaga na hiyo bei,..hapo lazima wachaga watoke nduki za kasongo yeye ,....😂😂🤣
 
Kuna baadhi ya watu wenye umri mkubwa ukifanya nao kazi unapojituma wanaanza kukuona unataka kuwafukuzisha kazi, mapema sana wanakuanzishia figisu. Mwishowe unatupa taulo na kuwaacha!
Wapumb@vu wa namna hiyo nimekutana nao saana katika misele yangu ya kutafuta tonge..
 
Tatizo sio camera, tatizo ni wanarusha matangazo kwenye Standard Definition SD 480i.

Imagine, hafu mtu unaangalia kwenye TV ya 4K
Upo sahihi mkuu.

Hapo kuna ishu ya camera na kubwa zaidi ni hy standard wanayotumia kurusha matangazo yao.

TBC sasa hv anaupiga mwingi na HD japokuwa sio kwenye vipindi vyote.

Azam Tv na channel zake zote 10 n HD.

Hawa wapuuzi IPP waendelee kurusha matangazo yao kwa SD tuu ili wasiongeze idadi ya jobless mtaani ila sema ukweli hawana kitu cha kumshawishi mtu kuangalia.
 
Ni kweli. ITV mmebaki kukariri supa brandi afrika mashariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…