IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

Wapokwe leseni ya kujitangaza kama Super Brand wanazidiwa hadi na TBC nowdays
 
Yule mnyarwanda sio mtu mzuri.... Anaweza kwenda Tena mahakamani akashinda Kwa koneksheni halafu mmeshawekeza.....acha tukose wote
 
Mkuu nimekuelewa sana, ila watu wenye mentality ya uswahili, ujamaa ni watu hatari sana, Tumia akili kuwakwepa na usipende wawe marafiki zako
 
Ongeza start tv,tv e
 
Ili kuendana na Kasi ya mabadiriko ya teknolojia pamoja na mazingira ya biashara ya kisasa, ili kuinusuru IPP inatakiwa kubadirisha uongozi wote, uza hisa na upishe wengine waendeshe biashara Kwa niaba yako huku wewe ukipata gawio tu

Vinginevyo hali yao itazidi kuwa mbaya, na watajikuta wanapoteza wateja wao wote
 
Star tv ndo hamna kitu kabisa hata tecno yangu inachukua video nzuri kuliko camera zao.diaro nae ushamba wa kisukuma bado haujamtoka tu pamoja na kukaaa mjini miaka mingi
 
Star tv ndo hamna kitu kabisa hata tecno yangu inachukua video nzuri kuliko camera zao.diaro nae ushamba wa kisukuma bado haujamtoka tu pamoja na kukaaa mjini miaka mingi
Wanatia aibu
 
IPP bila kuifumua yote mwisho wake utakua aibu
 
super brand Africa mashariki hii tuzo imedumu miaka na miaka sasa tuseme imetosha . IPP media inatakiwa kufanya reforms katika kuboresha na kumtumia ubunifu mwingine ili kuvutia watazamaji, imejisahau sana mnafikiri bado tupo katika zama za analogy. Haina ubishi watangazaji wote magwiji waliotokea Tanzania nyinyi ndio mmewapika ,hata wanasiasa wengi, ma celebrities kama wote ipp media ndio imewafanya wafike hapo walipo . IPP media ndio baba na mama kwa media zote Tanzania , jambo la msingi fanyeni maboresho , ili kuendana na soko la ushindani wa sasa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…