Iramba: Serikali kupitia TARURA yatoa TZS 7bl kufungua barabara

Hahaha,

Sasa maswala ya jina langu unataka unifundishe tena namna ya kuliandika?

Wewe hujui ata nini maana ya "State "

Elewa Rais ni taasisi mjomba
Acha ufundishwe. Umekosea vitu vingi sio kweli wilaya ya Iramba ina majimbo mawili. Ni Jimbo moja tu na mbunge moja Mwigulu. Eti unasema Mwigulu anaongoza majimbo mawili? Jimbo la Iramba magharibi ni sehemu yote ya wilaya ya Iramba. Jimbo la Iramba mashariki ipo wilaya ya Mkalama. Acha uongo. Edit habari yako.
 
Hii sio miradi ya samia, ni miradi ya serikali, serikali ndio inatoa hela kupitia kodi yako pamoja na misaada na mikopo kutoka ndani/nje. samia hatoi chochote na hata kodi halipi.
Usijifanye unajua kuliko watu wote
 

Soma vizuri, acha kukurupuka
 
mwigulu fisadi sana hizo milioni 500 kila Jimbo za Tozo yeye jimbo lake na la bibi yake wanaye share na boss wake kapeleka Bilioni 7 tena mgawo wa kwanza… hakuna accountability …
 
Hivi mimi naomba kuelimishwa, hizi fedha zinazomwagwa zimeidhinishwa na bunge??
 
Samia anatoaje hela? Yeye Samia ana hela gani za kutoa kwa ajili ya miradi ya maendeleo? Ama kweli kupenda sifa kwa ibilisi ameacha ametuharibia taifa.
 
Unachukia vile Rais Samia anapiga kazi?
Nampenda sana samia

Karudisha uwazi, kaongeza ukasimishaji wa majukumu na ameleta heshima

ILA hayo mengine huwa baadaye mnayatumia against her badae

Hata jaji wa kesi ya Mbowe akikosea mtamrushia mitusi yeye
 
Awesome H.E Samia
 
Rais atuangalie na sisi Mkalama Hadi Meatu
 
Awesome H.E Samia
 
Barabara bado ni vumbi kabisa Hamna lami bado mnatoa sifa kem kem. Mnapaka mafuta Mama Semia hila habebeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…