Iramba: Serikali kupitia TARURA yatoa TZS 7bl kufungua barabara

Serikali imetoa fedha kutokana na vyanzo vyake vya mapato, hii lugha ya kina Bashite, ya Rais ametoa hela hebu tuiache ni lugha ya kizandiki na wahuni.

Everyday is Saturday................................😎
 
Serikali imetoa fedha kutokana na vyanzo vyake vya mapato, hii lugha ya kina Bashite, ya Rais ametoa hela hebu tuiache ni lugha ya kizandiki na wahuni.

Everyday is Saturday................................😎
Daah
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Kazi kazi
 
Kazi iendelee kufanyika kwa kasi hii hii,
 
 
Kazi iendelee,
 
Nilitegemea mumuwajibishe mbunge wenu inakuaje miaka nenda rudi hamna barabara? Huduma nyeti kama hiyo, wakulima wananufaika vipi na kufikisha mazao yao sokoni
Wapi huko TZ hii ambako kuna barabara ukiacha kidogo kwenye majiji na manispaa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…