Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi

Mandela a

Kwani Mandela kaongoza kwa miaka mingapi ndugu?
Anamaanisha MANDELA wa BUTIAMA
 
Israel hajawahi kuwa mchokozi. Mara zote waarabu ndio wanaanzisha vita na Israel hana jinsi zaidi ya kujilinda.
Soma historia
Halafu; Na katika kujilinda, mtu hapangiwi eti ajilinde namna gani - atajilinda kwa mbinu anazozijua mwenyewe na anaona zinamfaa yeye. Kobaaz kuja kulialia hapa hakusaidii kitu komaeni na hali yenu mlioitafuta kwa muda mrefu.
 
Anayefuata ni Ayatollah
 
Kiingereza hujui,Iran alipiga Israel na dunia nzima ikaisaidia kudungua makombora,houthi wamepiga ndani kabisa ya Israel kwa drone ambayo hawakuiona, hizbullah wanapiga picha ndani ya Israel daily na kurusha video tuone
Ila bro. kwa statement hii 👉"Iran alipiga Israel na dunia nzima ikaisaidia kudungua makombora, naona shida kuiafiki au kuiamini eti Dunia nzima.....
 
Khamenei hata siku moja haendagi vitani ila anawatoa kafara vijana wa Jamhuri ya Kiislam -Iran.
 
Umesahau chatgtp cocacola Pepsi McDonald's kfc Oracle viber
 
Khamenei hata siku moja haendagi vitani ila anawatoa kafara vijana wa Jamhuri ya Kiislam -Iran.
Mbona unaongea pumba kwani Bush, Trump, Biden uwa wanaenda vitani.
 
Kama kidume kulikoni kuvuta wengine?

Iran hamvuti yeyote kwenye hili.

Kama kidume si avue gloves zipigwe kavu kavu?

Uchokozi kwa sababu ya kukingiwa kifua na wanaume, ni upumbafu!

Au wewe huoni hivyo ndugu?

Kwa nini Iran asivue glovu azipige kavu kavu...au huoni akina Houthi, Hamas na wengineo ....Kila siku Great Satan....! Great Satan....Kumbe Shetani mkubwa ni yaeye Mwenyewe......! Anaweza kufunga wanawake wasiovaa vilemba......Kumbe yeye kama nchi hata nguo ya ndani hajavaa.....Mkuu Kwa Iran hili tukio is a serios shame! Mgeni wenu mashuhuri anauwa na adui yako nyumbani kwako.....In short amekupima akakuweka kwenye mizani akaoni hauna chochote and wako tayari kwa hiyo bendera nyekundu juu ya msikiti!
 

Mkuu,....Huko Sudan hawaoni kabisa....Hatujawahi kuona Maandamano dhidi ya Boko Haram......Wanateka na kuoa vibinti vidogo.....yaana kuna matatizo fulani katika kuchanganua mambo.....
 
Hufahamu historia ya Hamas Israel kaishawau viongozi wengi akiwemo muasisi wa Hamas lakini ndiyo kwanza wanazidi kupata nguvu wagalatia wengi hawafahamu kama Hamas ni Ideology siyo mtu.

Kwa nini usiseme tu ni ideology ya Msahafu....au hujasoma charter ya Hamas wewe? Sio Ideology ni imani iliyopinda toka kwenye Msahafu wa imani yao....!
 
Hata Iran akipandisha matako yake hapo juu,sasa hivi itasikia mlio,Israel sio wa mchezo
 
Kama kidume kulikoni kuvuta wengine?

Iran hamvuti yeyote kwenye hili.

Kama kidume si avue gloves zipigwe kavu kavu?

Uchokozi kwa sababu ya kukingiwa kifua na wanaume, ni upumbafu!

Au wewe huoni hivyo ndugu?

Brazaj.....unashindwa kuamini.....Kidume kaondoka......Mpaka sasa Iran hawasemi nini hasa kilitokea.....wanajua wwzi Kuna Mkono wa Mosad katikati yao......Huo ndio unafiki mkubwa mno na udhaifu walio nao! Miaka nenda rudi wao wenyewe wanatofautiana pakubwa......Haniyeh kauawa ghorofa ya chini....Jamaa wa Islamic Jihad alikuwemo humo ndani kaachwa! Utasemaje.....? Wanauzana wao kwa wao.....Hawaamini kaondoka.....


 
Kwa nini usiseme tu ni ideology ya Msahafu....au hujasoma charter ya Hamas wewe? Sio Ideology ni imani iliyopinda toka kwenye Msahafu wa imani yao....!
Hamas believes that the message of Islam upholds the values of truth, justice, freedom and dignity and prohibits all forms of injustice and incriminates oppressors irrespective of their religion, race, gender or nationality.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Hamas inaamini kwamba ujumbe wa Uislamu unasimamia thamani za ukweli, uadilifu, uhuru na utu na unakataza aina zote za dhuluma na kuwatia hatiani madhalimu bila kujali dini, rangi, jinsia au utaifa wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…