Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi


Haaahhhh...Tunaona kwa Boko Haram na Sudan......Mifano ni ming mno....Ujumbe unaotaka kurudisha dunia Karne ya Saba......Ujumbe ambao ni static.....stale.....Mpaka sasa unalazimisha wanawake wafunge Vilemba......Mkuu ujumbe au tafsri yao ya Uislamu ni ujima....Period!
 
Siku zote upumbavu ni kujitia ujuaji kwenye kitu usicho kijua.
Ebu kwanza nitajie gari ,simu ,frige,au hata pasi tu inayo tengenezwa na kampuni kutoka ndani ya Israel.
Hebu nenda kwenye tovuti ya sekita ya viwanda ya Iran uone orodha ya vitu inavyo tengeneza alafu uje urudi hapa kuongea uharo wako hapa.

Hii Iran unayo iongea inazalisha bidhaa za viwandani zaidi ya mara tatu ya anazo zalisha Israel.
Iran ndo mtengenezaji wa magari mkubwa kuliko nchi yeyote hapo mashariki ya kati.
Iran ndo mzalishaji na msambazaji mkubwa wa umeme hapo mashariki ya kati.
Iran ni mojawapo ya mataifa machache yanayo miliki teknolojia ya hali ya juu ya uchimbaji wa gesi hapa duniani.

Iran inazalisha bidhaa za viwandani zenye thamani ya bilion 50$ kwa mwaka wakati nchi yako iliyo jaa mazezeta kama ww, uwezo wake kiviwanda haufiki hata bilion 3$ kwa mwaka.
Wakati taifa lako linahangaika kufikia megawatt 3000za umeme Iran inazalisha zaidi ya megawatt laki 2 na ushenzi.
Huna unalo lijua kazi kujitia ujuaji.
 

Mkuu ni Iran hiyo ambayo Rais alikufa kwa kuwa Chopa iliyochoka....!!!!!
 
Ona huyu anaongea nini.
Israel miaka yote anajua Russia ipo Syria ila hajawahi kuthubutu hata siku moja kushambulia kambi ya Russia.
Na 2021 aliwasaidia Syria kudungua f-35 tatu za Israel na Israel haki respond chochote.
Russia achana naye.
hii mbanga wazayuni wanapiga kurjuani ata putin angeshirik kutenda uovu uzayunini angekutana na uzi wa msimbazi aka sanda
 
Huyu Mzee kama atajigusa ndio atajuwa hajuwi yaani wajanja wanamtamani kuliko anavyo fikiri. Yaani atabiruzwa ndani ya Taifa lake ameuwa sana ndani na nje nadhani niwakati wakumakumalizia. Hili shambuliz lakimkakati na Israel mtoto wa mjini hajatoa comment sasa ajichanganye nataka muweke kumbukumbu Irani itakuwa masikini kwa miaka 100 ijayo kwa kosa lakuishambulia ISRAE. URUSI SIDHANI KAMA ATATIMBA MIGUU YAKE WALA CHINA KWA HILI
 
Umesahau Iran anamiliki hayo matako yako pia.
 
😂😂😂Kwa hivyo unasemaje waisome albadiri MOSSAD wote wawe vichaa
 
Ajatollah akirusha hata njiti ya kiberit Israel mwisho wake utakuwa umefika...
Muda msema kweli
 

View: https://x.com/currentreport1/status/1818811035580875102?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ajatollah akirusha hata njiti ya kiberit Israel mwisho wake utakuwa umefika...
Muda msema kweli
Wewe endelea kubweka huko Uyole.

Afisa wa Pentagon ya Marekani:

Iran na washirika wake watafanya mashambulizi makali dhidi ya Israel ndani ya saa 72 zijazo.

FM ya Iran imeziarifu Qatar na Saudi Arabia kwamba operesheni ya kijeshi dhidi ya Israel iko karibu, na kuzionya kutoruhusu anga yao kutumika dhidi ya Iran.
 
Mikwara mbuzi hii.
 
Mbwembwe na mikwara ya mbwa koko hiyo.

Ukifuatilia comments za waajemi wa JF unaweza dhania Iran ni bonge la nchi na superpower country kumbe hamna lolote. Ni sawa na Burundi tu.
Netanyahu anaomba msaada Marekani wampige Iran wewe mlokole wa Buzebazeba nani anakujua.
#BREAKING Iran’s new FM has issued a notice to Qatar and Saudi Arabia that there will soon be a military operation launched against Israel and warned them that their air space is not to be used against Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…