Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi

ndugu usishabikie bita, muda si mrefu utakuja hapa kulialia kwamba wayahudi ni wakatili. waulize wahuthi kama wamerusha tena drone au wameufyata.
Hawa jamaa (kobaz) ni wazito sana kuelewa somo. Ni mpaka damu ziwatoke masikioni ndo watakuwa wamejifunza na kuelewa kwamba Myahudi ni habari ingine.
 
sio kama mnasemaga mujahideen walimfurushs mrusi pale afghan ?
 
Hapo ujue sasa wameruka mkojo wanaenda kukanyaga mavi. Adui yako ameshakuonesha anauwezo wa kuingia nyumbani kwako hadi chumbani unapolala na maYeyoo wako lakini bado haukubali kutambua kwamba umeshafedheheka; utulie na utafute amani nayeye la sivyo utabutuliwa na kupigwa kama ngoma ya bughoboghobo.
 
sio kama mnasemaga mujahideen walimfurushs mrusi pale afghan ?
Hao jamaa ni very evasive katika majibu yao. Ni wepesi sana kuhamisha magoli.
Mahali pengine waliwahi kusema afghan walimfurusha marekani n.k. n.k.
 
Rest in Peace Ismail Haniyeh

Alizaliwa kwenye kambi ya wakimbizi baada ya wazazi wake kuvunjiwa na kufukuzwa kwenye maeneo yao mwaka 1948, ambapo sasa ni ndani ya Israel.

Kama una sympathize na Mmasai kuhamishiwa Tanga, na Mchaga kuondolewa maeneo ya Kilimanjaro International Airport kupisha mgeni Mwarabu, basi unaweza kuelewa kwa nini vizazi vya kina Haniyeh viliamua maisha yao yatakuwa ni kufa wakipambania haki yao.
 
Wewe punguani kweli Bush kafanya mauaji Iraq kuwa wana silaha za sumu imekuja kujulikana uongo wamemua Gadaf kuwa dikiteta wanaleta demokrasia Libya leo wamekuwa wakimbizi hizo kauli za hao viongozi wewe ndiyo unaziita kauli zenye marengo jinga kabisa.
 
sio kama mnasemaga mujahideen walimfurushs mrusi pale afghan ?
Mujahiddin wa Chechen na Taleban ndio walimtoa USSR ule ukanda ila sio pekee yao bali kwa uwezo wa USA.
Maana vikundi vyote hivyo viliundwa under American influence.
 
Kama Utaratibu uliotumika ulikuwa ni BATILI; basi kila kinachoendelea au kufanyika kwa mujibu wa utaratibu huo ni batili pia. Ukizingatia na kukumbuka kwamba Utaratibu huo Batili haukuwekwa kwa mapambano bali ni watu waliketi mezani na kuibua Utaratibu huo batili, sasa ww ukianzisha mapambano dhidi ya utaratibu huo, hayo mapambano yako nayo pia ni Batili. Cha msingi inatakiwa kurudi pale pale hatua ya mwanzo ya watu kuketi mezani na kuibua Utaratibu ambao utakuwa ni HALALI. Ni muhimu pia kukubali kusamehe au kuachana na mabaya yaliyopita na kufungua au kuanza ukurasa mpya..... Tofauti na hapo ni kila siku itakuwa mtifuano tu.
 
Hao jamaa ni very evasive katika majibu yao. Ni wepesi sana kuhamisha magoli.
Mahali pengine waliwahi kusema afghan walimfurusha marekani n.k. n.k.
Mkuu umejibu kimihemko.
Ulitakiwa ukae utulie utizame mlolongo ulianzia wapi?
Nimeshampatia jibu lake stahiki ila fuata mlolongo usikurupuke kujibu.
Kwa hiyo kisa Mujahiddin kumuondoa Afghanistan Russia basi ndio Israel aweze kumpiga Russia!?
mambo ya 1990s na sasa yanafanana?
 
⚡️
Iran imeionya Marekani kupitia washirika wake kwamba ikiwa itafanya makosa, mali zao zote katika eneo hilo zitachukuliwa na kupigwa vikali - Al Jarida
 
⚡️ Iranian General Bagheri to the Saudi Foreign Minister: Iran will implement its legitimate right to respond to the Zionist entity in a decisive and decisive manner that will make it regret forever. Emphasis on "forever"
 
Mujahiddin wa Chechen na Taleban ndio walimtoa USSR ule ukanda ila sio pekee yao bali kwa uwezo wa USA.
Maana vikundi vyote hivyo viliundwa under American influence.
Ile vita ilipiganwa kwa support ya infidels wa CIA wakiongozwa na Laden ambaye mbeleni walikuja kuzinguana
 
Yeah! Naweza kuwa kweli punguani na jinga kabisa lakini Bush yupo ila Gaddafi na Saddam Hussein wamepelekwa kule wanaenjoy mabikra 72 na mito ya pombe huko kwa allah. Je, hapo ni nani mwenye malengo na ni nani punguani na jinga kabisa?
 
Up next on the list of jihadists to be liquidated will be Ayatollah Khamenei, the Supreme Leader of Iran for his role of sponsoring and abating the global terror.
Do you even know the meaning of 'abating'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…