Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi

Mlishindwa kuidungua Ndege iliyo leta KILIO!;
Hiyo bendera nyekundu ni mkwala mbuzi!
Muda Utasema!🥵 🔥🔥
 
Iran hivi sasa inafanya mkutano wa dharura wa Baraza lake Kuu la Usalama wa Kitaifa katika makazi ya Khamenei, tukio ambalo hutokea tu katika hali isiyo ya kawaida.

Kamanda wa Kikosi cha Quds pia anahudhuria.
Iran iliziaminisha baadhi ya nchi za kiarabu kuwa iko imara na haiwezi kuchezewa na adui kirahisi. Kitendo cha Israel kuvamia ndani ya Tehrani kimeivua nguo Iran, hivyo inahitajika kufanya jambo ili kurudisha imani kwa wale washirika wake.
 
Mkuu Trump ilimpata ya sikio. Nani alikuwa kamuuza?

Dunia ya leo nani yuko salama wapi?

Ukweli mchungu:

“Why did they kill him? They killed peace, not Ismail Haniyeh.”

Amesikika mwuungwana mmoja akijisemea.

Trump angalau alikuwa uwanjani....Huyu jamaa kwenye Guest House ya viongozi wakubwa! Kama hakuuzwa basi Mosad wanatumia majini!
 
Iran iliziaminisha baadhi ya nchi za kiarabu kuwa iko imara na haiwezi kuchezewa na adui kirahisi. Kitendo cha Israel kuvamia ndani ya Tehrani kimeivua nguo Iran, hivyo inahitajika kufanya jambo ili kurudisha imani kwa wale washirika wake.

Ukiangalia picha za siku hiyo utachoka! Maana alikuwa amezungukwa na wakubwa! Kumbe jamaa kisha wekwa kwenye rada....
 
Iran wanazingua. Wanauliwa majenerali wao; na wanasayansi wao mahiri wa nguvu za nyuklia wanajiapiza kulipiza kisasi weee halafu hakuna cho chote.

Leo anauliwa mkuu wa Hamas. Tena kwenye heightened security kuelekea kuapishwa rais mpya wa nchi ambaye naye si ajabu alipitiwa na hao hao MOSSAD.

Kuna incompetence tena kubwa tu....

 
Myahudi si basha wako
 
Hii theory sio kweli... Sio kombora ila ni some form of projectile
 
Trump angalau alikuwa uwanjani....Huyu jamaa kwenye Guest House ya viongozi wakubwa! Kama hakuuzwa basi Mosad wanatumia majini!

Mkuu inahitaji nini kujua nani atalala wapi leo au nani yuko wapi sasa?

Shambulizi la mtu mmoja mmoja popote mbona ni shambulizi la kijoga joga fulani tu?

Ninakazia:

“Why did they kill him? They killed peace, not Ismail Haniyeh.”

Ngoja tuone kama hili litawalipa lolote lenye tija hao mabazazi.
 
Mlishindwa kuidungua Ndege iliyo leta KILIO!;
Hiyo bendera nyekundu ni mkwala mbuzi!
Muda Utasema!🥵 🔥🔥

Mkuu kuna theory nyingi, kuna uwezekano ni kombora toka humo humo ndani Iran! Hiyo guest house ni ghorofa, ilipiga ile ile wing aliyokuwa amelala jamaa! Wengine wanasema ni ant tank missiles toka nyumba ya Jirani....Iran wanashindwakabisa kusema ni nini, bado wameduwaaa.....
 
shida yenu ninyi huwa mnaamini Israel ni ile tu iliyopo middle east. Israel ipo marekani, UK na ulaya karibia yote. ndio maana netanyahu ana ujasiri kwenda marekani na kutukana watu mbele ya congress, unafikiri anapata ujasiri wapi?L netanyahu mwenyewe hata shule kasoma marekani si unasikia kiingereza chake ni cha kimarekani.

marekani kuna wayahudi wasiopungua milioni 7.5, Israel kuna wayahudi kama milioni 7.3. meaning, kuna wayahudi wengi zaidi Marekani ambao ni raia wa marekani kuliko wayaudi waliopo pale Israel. kule marekani ndio walioshikilia serikali, uchumi na media. hiyo CNN ni ya kina warner brothers ambao ni wayahudi, just to mention a few, makampuni kibao makubwa ni wao. uingereza, canada, na maeneo mengine wapo wengi sana pia. kwahiyo ukiona wanapigana alongside Israel sio kwamba wanaisaidia, kama marekani metawaliwa na wayahudi basi wakipigana ni wajibu wao na wala sio kusaidia.
 

Mkuu ni shambulio lakijoga....ama kweli ukipenda chongo utasema kengeza! Kubali Mkuu kuna weakness kubwa ndani ya Iran.....Hebu angalia Wana sayansi wao Mradi wa Nuklia wanavyouawa....Kubali Mkuu kuna wana ndani ya Iran wanawauza kwa Mosad!
 
Hiyo Guest House ni vingunge....Haikuwa Mbali na nyumba ya Rais wao!
of course hata kumpiga ayatola wanaogopa tu wasije kuamsha hasira za moto wa petroli ila wanaweza. vita ikianza, watakuwa huru kufanya chochote. tuombe Mungu tu isianze manake wasio na hatia ndio watakufa wengi.
 
Marekani haitawaliwi na wayahudi hizi fikra dumavu wacheni.
Bali kuna ushirikiano na kusaidiwa kwa Israel na Marekani.
Hakuna siku Netanyahu alisimama katika Congress na akatukana thubutu yakeee.
Mbona hakutukana mwaka juzi baraza lilipokataa kupitisha upelekaji wa silaha Israel pale Capitol Hill!?
Hizi fikra zenu huwa sijui mnatoaga wapi.
USA na Israel wana mutual benefits tu hivyo kubebana ni lazima.
Ila utake USITAKE Israel haina nguvu ya kupigana vita peke yake sasa hivi.
Maana ina rekodi ya askari wengi walemavu wa akili na viungo,pia wana upungufu wa askari.
 

Why they Killed Hanniyeh.....Mkuu uko serious? Au unatania....Hau humjua Hanniyeh
 
Ninakazia:

"Supporting Palestinians is a duty, whatever the sacrifices are."

Kauli thabiti kabisa kutoka kwa aina ya akina Mandela, Lissu na wa namna hiyo.
Huyo kubwa la magaidi unaweza kumliganisha na Mandela ama Lissu?!
 
Mkuu ni shambulio lakijoga....ama kweli ukipenda chongo utasema kengeza! Kubali Mkuu kuna weakness kubwa ndani ya Iran.....Hebu angalia Wana sayansi wao Mradi wa Nuklia wanavyouawa....Kubali Mkuu kuna wana ndani ya Iran wanawauza kwa Mosad!

Kwani Israel bila Marekani ana nini ndugu?



Kwani tatizo mashariki ya kati nalo ni nini hasa?

"Supporting Palestinians is a duty, whatever the sacrifices are."

Wadhani walijua tatizo mashariki ya kati kuliko kina Mandela, Lissu na wa namna hiyo ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…