Iran imedhamiria, waziri wake atua Beirut kibabe

Hata Ukraine anatembelewa sana, ila bado anaendelea kupokea kichapo
 
Yule mkuu wao wa majeshi wa Israel au viongozi wao hawajawahi kwenda Syria au Lebanon wanabweka wakiwa Tel Aviv.
 
Sawa ngoja wachambuzi na wataalamu wenzako wa maswala ya vita ya mashariki ya mbali kutoka Buza, Kwa Azizi Ally, Bunju B, Zhakiem na Gongo la Mboto waje kukupa uchambuzi wa kinachoendelea huko.
Mbona umetusahau wa Kimara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…