Iran imedhamiria, waziri wake atua Beirut kibabe

Iran imedhamiria, waziri wake atua Beirut kibabe

Neta😾 kwenye mkutano wa UN!

images.jpeg
 
Israeli huwa hana tatizo na diplomats. Mtu ambaye hayupo kwenye combat wala hatoi amri ya wao kushambuliwa Sio tishio kwao hawana shida naye. Huyo waziri akishambuliwa, hana impact yeyote. Majenerali wa Iran na wanajeshi wa Quds hawapo salama šŸ¤”
 
Tangazo lao halikusema hivyo!
Labda wewe leo ndo umetoa tangazo jipya kwa niaba ya Neta😾
 
Mtoa mada enyewe ni mpumbavu, onyo linahusisha ndege za kijeshi na si za kiraia
 
Ndege iliyombeba waziri wa mambo ya nje wa Iran imetua Beirut, Lebanon.

https://www.timesofisrael.com/liveblog_entry/iranian-foreign-minister-arrives-in-beirut/

Hivi karibuni Israel ilipiga mkwara kuwa ndege yoyote kutoka Iran hairuhusiwi kutua uwanja wa ndege Beirut, naona wanaume wamesema mtu mzima hatishiwi nyau!

View: https://x.com/warfareanalysis/status/1842105208043712665

Tuaeme dege hilo mchana mchana si IDF au waisiraeli wa kule buza wenye kuliona?

Mzee Kigogo FYI.
 
āœ‹āœ‹āœ‹āœ‹
Tulia wewe chizi fresh, na kijora chako cha bendera ya Israel ulichovaa!

Weka hapa hilo tangazo tulione, tangu lini Mzayuni akajua kutofautisha jeshi na raia?

Mahaba yamemzidi ana hasira kuliko Natenyahu
 
Tangazo lao halikusema hivyo!
Labda wewe leo ndo umetoa tangazo jipya kwa niaba ya Neta😾
Israel wako busy na kuondoa magaidi wa Hezbollah ambao ni tishio, kama huyo gaidi aliyeuwawa jana, Sio wana siasa šŸ¤”
.......
The commander of Hezbollah’s Mount Dov region was killed in an airstrike yesterday, the IDF announces

The military says that Khader Shahabiya was responsible for the rocket fire on Majdal Shams in July, in an attack that left 12 children dead.

He was also behind numerous anti-tank missile and rocket attacks on IDF posts in the Mount Dov, Hermon, and northern Golan Heights area, the military adds.

Raw & Unfiltered News
FB_IMG_1728045565101.jpg
 
Mtoa mada enyewe ni mpumbavu, onyo linahusisha ndege za kijeshi na si za kiraia
Onyo lilitolewa kwa ndege zote, za kivita ba kiraia akidai kwamba ndege za kiraia zimekuwa zikitumika kubeba silaha za kivita kwa ajili ya Hezbollah na jeshi la lebanon
 
Back
Top Bottom